Recent content by jimyjooo

  1. jimyjooo

    Msaada: Nimeulizwa swali na mke wangu nimeshindwa kulijibu

    Jamani hawa viumbe sio rafiki, Mimi jiliulizwa km hivo na mengine mengine nimeambulia kuletewa mimba nyumbani. Hivi nimeamua kukimbia nyumba yangu ili nisije UA mtu nikafungwa. Ukiona mke anadai vitu vya ivo kambali naye ila ukiona anakusogezea Fanya sanaaaaaa.
  2. jimyjooo

    Msaada: Nimeulizwa swali na mke wangu nimeshindwa kulijibu

    Ushauri km unampanga kupiga tuta mkuu
  3. jimyjooo

    Msaada: Mpenzi wangu ananuka kinywa

    Hapa nasogea pande za makumbusho eti kuna dentist
  4. jimyjooo

    Msaada: Mpenzi wangu ananuka kinywa

    Kinywa tu huko huko pouwa kumenona hatareeeee
  5. jimyjooo

    Msaada: Mpenzi wangu ananuka kinywa

    Mwaka huu utakua wa furaha sana, kwan sijaopitiwa na povu. Mmbarikiwe wote
  6. jimyjooo

    Msaada: Mpenzi wangu ananuka kinywa

    Ungejua bby alivo sukwa duuuh.... Kifua, chura mabawa yaaan kisura
  7. jimyjooo

    Msaada: Mpenzi wangu ananuka kinywa

    Asante kwa ushauri
  8. jimyjooo

    Msaada: Mpenzi wangu ananuka kinywa

    Asante kwa ushauri
  9. jimyjooo

    Msaada: Mpenzi wangu ananuka kinywa

    Mwaka unaishia ila kunajambo linanikwaza hadi natamani nisiuvuke mwaka. Jambo lenyewe nimedumu ktk mahusiano na binti ambaye Mungu ameonesha ufundi wake ila ANANUKA kinywa. Je, nifanye nini tatizo liishe niendelee kufaidi utamu wke? Nikimwacha naona km nakufuru uumbaji wa Mungu. Wajuzi mnisaidie
  10. jimyjooo

    Mjihadhari na huyu tapeli wa JF

    We jamaa ulitaka kuiba umeibiwa wewe. Safiii ulitegemea mzigo utoke Dodoma bila kulipiwa kiasi chochote unalipa nauli tu hujielewi wewe
  11. jimyjooo

    Jinsi FGM imeathiri mfumo wa maisha yangu(psychologically),historia ya kweli.

    Pole sana member wa jf. Ila hilo linakuumiza coz unajiona wewe tu mtaani wanawake kibado wamekeketwa sema tu hahajijui na ukiwambia wanabisha. Mke wangu mchaga kakeketwa alikua hajijui nilipo lala nae kwa Mara ya kwanza nikamwambia akashangaa nakumuliza dadake akaprove. Usihofu sawa na kuwa na...
  12. jimyjooo

    Ni nani mmiliki wa mimba?

    Mtakuja kuuliza maswali km tangazo la tigo eti baba ulimpataje mama...?
  13. jimyjooo

    MAUTUNDU: Namna ya kusoma chat za mwenzako za WhatsApp bila yeye kujua

    Naomba mamna Kusoma SMS Za kawaida kwenye Simu
  14. jimyjooo

    Hivi kuna watu wamechagua ualimu wa arts?

    Mimi naona wapo sahihi. kero yangu kusoma Sisiemu
Back
Top Bottom