faiza zuwer
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 400
- 172
Wote ni wamiliki kwa sababu mimba inatafutw na wawili wote saa kam mtu anatak yake peke yak ajipe mwenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiweka pesa bank ukaenda kuzitoa kwa ATM card je ni za nani?
Soma hata jina!!wewe ni baba?
Stress za awamu ya tano [emoji85] [emoji40]Watu cjui mnawazaga nn jmn mpk mnakuja na thread za HV ....hhahaaaahha
Pitia kwa mangiiUkiweka pesa bank ukaenda kuzitoa kwa ATM card je ni za nani?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na ikitokea mgawanyo wa chromosomes ukaenda ndivyo sivyo ??Mimba ina 46 chromosomes nusu kwa baba na nusu kwa mama hivyo wote ni wamiliki ila kwa kuwa mmbebaji ni mama inaonekana kama mmiliki ila ni wote. Hakuna mwenye hati miliki peke yake
Kwani nyie za kwenu??Tunakoseag kusem kwa wame zetu kuwa nna mimba yako
basi kabla ya kuitwa baba ulikua na mimba yakoSoma hata jina!!
Mfumo dume [emoji85] [emoji40]basi kabla ya kuitwa baba ulikua na mimba yako
Mtakuja kuuliza maswali km tangazo la tigo eti baba ulimpataje mama...?Watu cjui mnawazaga nn jmn mpk mnakuja na thread za HV ....hhahaaaahha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hebu mpe mimba mwanafunzi halaf ukamatwe utajua mimba ni ya nani...!!!
[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]Mfumo dume [emoji85] [emoji40]