Recent content by jimy limo

  1. jimy limo

    Usipocheka ujue unamatatizo

    Hii sasa kali kweli kweli! wazazi wanachofanya pale binti yao anapochelewa kuolewa Wazazi wengine wanaandika MBWA?MKALI kwenye geti lao kama binti wao ana miaka 18.. Binti akifika miaka 30 na hajaolewa wanapabadilisha na kuandika TUNAUZA BARAFU
  2. jimy limo

    Kama una kichekesho chochote tupia hapa

    Nitamgeuka mke wangu kua niliweka mtego so"nitamletea jamaa noma
  3. jimy limo

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Naendelea kubeti tusua mapene ila sjabahatika bado, sasa sijajua hao wanaoshinda wao wanachezaje mana nacheza sana hadi nakata tamaa mana sijashinda hata buku nananunua sana vifurushi vya mwezi ila bado nakaza buti
  4. jimy limo

    Ukisikia tego ndio hili mtu kategwa.

    Kweli huu ni mtego haswaaaaaaaaaaa
  5. jimy limo

    Naombeni ushauri: Nina mke ila kuna binti nampenda kweli

    Kwan wewe ulpokua unamtongoza uliomba ushauri acha tamaa baki njia kuu
  6. jimy limo

    Mume wangu hataki kunyoa nywele za sehemu za siri

    Sio vizuri kumuanika mmeo jaribu kuzungumza nae faragha atakuelewa2
  7. jimy limo

    Kwanini wakati wa Kikwete watu walikuwa wachapa kazi kuzidi wakati huu wa Magufuli?

    Kama hujajenga kipindi cha kikwete hutokaa ujenge kwakipindi hiki
  8. jimy limo

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Kwaupande wangu sina mashaka na mtandao wa voda pamoja na washkaji ila boresheni huduma ya tusua mapene angalao muwe mnatoa zawadi ndogo ndogo kama mlivyofanya katika mgao wajanuari ili kututia moyo tunaonunua kete yakifurushi cha mwezi kwanjia yadiskauti,kwakua wanaonunua kifurushi cha mwezi...
  9. jimy limo

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Polen sana mnao lalamika,kiukweli,mm natumia lain yavoda kwa mda mrefu sana kwaupande wangu sjaona tatizo nanatumia huduma zote ikiwemo mpesa.nnacho waomba vodaCom wajaribu kuboresha huduma ya tusua mapene angalao wawe wanatoa zawadi ndogo ndogo haswa tunaonunua kete kwa diskaunt kwanjia ya...
  10. jimy limo

    Usiku wa kwanza wa ndoa ya kaka...

    Hadidisi nzuri ila nifupi
  11. jimy limo

    Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

    Mtoto gani ulimpata wakiu au wakik
Back
Top Bottom