Kama una kichekesho chochote tupia hapa

Akili pesa

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2014
Messages
529
Points
1,000

Akili pesa

JF-Expert Member
Joined Jun 18, 2014
529 1,000
Mimi naanza Kama ifuatavyo:

Mke:Mme wangu nikifariki utasubiri muda gani hadi
uowe mke mwengine?

Mme:Hadi udongo wa kaburi lako utapo kauka.

Mke:Unaniahidi hivyo??!!

Mme: akatabasamu akasema ndio.
Baada ya kufariki mke,

mme: akawa akiitembelea kaburi ya mkewe kila siku hadi mwaka ukakamilika kaburi ya mkewe bado
udongo ni mbichi hauja kauka!!!
Siku moja mme alipokwenda makaburini
jioni, akamkuta kaka wa mke wake-shemej makaburini akamuuliza:

Mme:Shemeji unafanya nini uku makaburini??

Shemeji:Natekeleza wosia niliopewa na dada yangu
kaniambia kila baada ya siku mbili niwe nauloweka
udongo wa kaburi lake kwa kuumwagia maji ndoo nne mpk sita za maji.
Mume akabaki hana lakusema.

(Hakika vitimbi vyao ni vikubwa wakiwa hai na wakiwa
wamefariki.).
Tupia cha kwako hpa.
 

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Messages
16,343
Points
2,000

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2011
16,343 2,000
UMEMUAGA mkeo unaenda kazini, ukapita kwa mchepuko wako, wakati unajimwaya-mwaya na mchepuko, mume wa mchepuko akagonga mlango, ikabidi ufichwe uvunguni mwa kitanda.

Wakati bado upo uvunguni ka mchepuko kakamuaga mume wake kwamba, kanaenda saloon, mume wa ka-mchepuko naye akaona ndo muda wa kuita mchepuko wake, akauita ukaja, wakajimwayamwaya kwa sana muda huo wee bado upo uvunguni. Mara mchepuko wako akarudi kutoka saloon, akagonga mlango, ikabidi mume wa mchepuko wako aufiche uvunguni mchepuko wake.

Kucheki hivi kumbe mchepuko wenyewe ndo mke wako uliyemuaga unaenda kazini, kwa hiyo wewe na mke wako wote mkawa mmefichwa uvunguni...Ukisikia vita ya tatu ya dunia, ndo hii sasa.

Kwa hisani ya Bujibuji...
 

frank matovu

Senior Member
Joined
Jan 7, 2014
Messages
140
Points
250

frank matovu

Senior Member
Joined Jan 7, 2014
140 250
Jamaa kaoa mke miez 6 ikapita bila kupata mimba,akampeleka kwa docta
docta akamwonyesha picha ya watu wanaogegenduana,kisha akamuuliza
"mlishafanya hivi? Jamaa akajibu.."hivyo ndo nn
docta akaweka cd ya X
KISHA AKAULIZA
"UMEJIFUNZA NN"
JAMAA AKAJIBU."CJAELEWA".
DOCTA AKAMWAMBIA MKE WA JAMAA APANDE KITANDAN
AKAMCHAPA UKUN
DOCTA ALIPOMALIZA AKAMUULIZA JAMAA
UMEELEWA CHA KUFANYA
JAMAA AKAJIBU CJAELEWA
DOCTA AKAWAEWAAMBIE WARUD NYUMBAN

WAKAT WANATOKA JAMAA AKAMUULIZE DOCTA
"SAMAHAN DOCTA,KESHO NIMLETE TENA WIFE"?
KAWA WEWE DOCTA UNGEJIBU VP?
 

Akili pesa

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2014
Messages
529
Points
1,000

Akili pesa

JF-Expert Member
Joined Jun 18, 2014
529 1,000
Jamaa kaoa mke miez 6 ikapita bila kupata mimba,akampeleka kwa docta
docta akamwonyesha picha ya watu wanaogegenduana,kisha akamuuliza
"mlishafanya hivi? Jamaa akajibu.."hivyo ndo nn
docta akaweka cd ya X
KISHA AKAULIZA
"UMEJIFUNZA NN"
JAMAA AKAJIBU."CJAELEWA".
DOCTA AKAMWAMBIA MKE WA JAMAA APANDE KITANDAN
AKAMCHAPA UKUN
DOCTA ALIPOMALIZA AKAMUULIZA JAMAA
UMEELEWA CHA KUFANYA
JAMAA AKAJIBU CJAELEWA
DOCTA AKAWAEWAAMBIE WARUD NYUMBAN

WAKAT WANATOKA JAMAA AKAMUULIZE DOCTA
"SAMAHAN DOCTA,KESHO NIMLETE TENA WIFE"?
KAWA WEWE DOCTA UNGEJIBU VP?
Ningemwambia mpe namba yangu ya simu mkeo ntakuwa namletea dawa hukohuko ili usipoteze nauli ya kumleta mpk huku, si unajua vyuma vmekaza
 

MOGAY

Member
Joined
Mar 31, 2014
Messages
76
Points
95

MOGAY

Member
Joined Mar 31, 2014
76 95
Jamaa kaoa mke miez 6 ikapita bila kupata mimba,akampeleka kwa docta
docta akamwonyesha picha ya watu wanaogegenduana,kisha akamuuliza
"mlishafanya hivi? Jamaa akajibu.."hivyo ndo nn
docta akaweka cd ya X
KISHA AKAULIZA
"UMEJIFUNZA NN"
JAMAA AKAJIBU."CJAELEWA".
DOCTA AKAMWAMBIA MKE WA JAMAA APANDE KITANDAN
AKAMCHAPA UKUN
DOCTA ALIPOMALIZA AKAMUULIZA JAMAA
UMEELEWA CHA KUFANYA
JAMAA AKAJIBU CJAELEWA
DOCTA AKAWAEWAAMBIE WARUD NYUMBAN

WAKAT WANATOKA JAMAA AKAMUULIZE DOCTA
"SAMAHAN DOCTA,KESHO NIMLETE TENA WIFE"?
KAWA WEWE DOCTA UNGEJIBU VP?
MRUDISHE TENA AWAHI TUMALIZE DOZE......TEH TEH TEH......
 

Forum statistics

Threads 1,366,804
Members 521,572
Posts 33,378,271
Top