Kwanza mweupe habagui mweusi tu...anabagua mtu yoyote ambae sio mweupe...yaani wachano..wekundu..na hizo rangi nyingine ambazo sio nyeupe. Kwa kutaka race yao kuwa superior..!!
Unaposema mweusi tu..hapo unajishusha(kujubagua) mwenyewe, na unakubaliana nao.
Kumbuka tunatofautiana rangi...
Natamani nikujibu vizuri nikueleweshe lakini mpaka kufikia wewe kudhani hivyo nahisi ni too late.
Basi angalau, tafadhali, kuwa mwenye shukrani kwa kuwa na ngozi hiyo...maana umepewa kwa dhumuni bora tu la kukuwezesha kukabili mazingira uliopo..!!
Huyo hakukupenda wewe...alimpenda yule wewe wa nadharia uliomtengenezea kichwani na moyoni mwake.
Umeshaharibu...move on ila next time ukitaka serious relationship...Be yourself..!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.