Recent content by jike la simba

  1. jike la simba

    JamiiForums Tanzania Wanaposema uchumi wa kati huwa wanamaanisha nini?

    Subiri waje
  2. jike la simba

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi kumwamini ndugu au rafiki wa karibu na akakutapeli mkwanja mrefu?

    Wacha nitoe yangu kwa huzuni Nitapeliwa na kuibiwa na mzazi mwenzangu wa ndoa kabisa zaidi ya milioni 10 nilimpakilia mzigo wa biashara akadai amekopwa kumbe alikula na malaya huko mkoa miaka mitatu nikafilisika nahangaika na watoto yeye ata chembe ya huruma hana nikambuluza mahakamani mahakama...
  3. jike la simba

    JamiiForums Tanzania Ushauri wizara ya Ujenzi: Hatuwezi kuiga India kutengeneza barabara za plastiki kwa gharama nafuu?

    Ikitokea hiyo dili nistue niwe mkusanyagi maana nipo sekta hiyo ya takarejea
  4. jike la simba

    JamiiForums Tanzania Barabara ya juu inayokatiza katika makutano ya barabara za Nyerere na Mandela yaanza kutumika

    Ngoja Leo nipitie maeneo hayo nishuhudie
  5. jike la simba

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya amani yafanyika nyumbani

    Haya mwambie mkeo arudi ndani upate upenyo wa kufotoa kapicha cha huyo jirani mchokozi Sent using Jamii Forums mobile app
  6. jike la simba

    JamiiForums Tanzania Nikiwa na mtaji wa Million 10 biashara gani naweza kuifanya nchini Marekani?

    Subiri waje nami nasubiri jibu Sent using Jamii Forums mobile app
  7. jike la simba

    JamiiForums Tanzania Utajuaje gari iliyofunguliwa na kitengenezwa Engine.

    Nimechekaa[emoji23] [emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  8. jike la simba

    JamiiForums Tanzania Dkt. Louis Shika: Undercover informer aliyenusurika kifo ughaibuni?

    Mshana nasubiri mada ya mtu ukilala akikuinamia usoni unaamka Sent using Jamii Forums mobile app
  9. jike la simba

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kipanya apigiwa simu na kuambiwa afute katuni hii haraka

    Wameongeza watazamaji wa kuiangalia hii katuni na kufikiria maana
  10. jike la simba

    JamiiForums Tanzania Ulikuwa kichwa shuleni? Andika neno lenye herufi tatu lenye maana

    Taa Yai Nimeambulia japo sikuwa kichxa skulii
  11. jike la simba

    JamiiForums Tanzania AY: Nimetimiza ndoto yangu ya kuishi Marekani

    Rudi nyumbani kumenoga
  12. jike la simba

    JamiiForums Tanzania Hii Picha Imenishtusha sana.

    Ata Mimi nimeshtuka
  13. jike la simba

    JamiiForums Tanzania nna harrier new model ya 2005 naweza kupata mteja!!

    Huna gari
Back
Top Bottom