Dkt. Louis Shika: Undercover informer aliyenusurika kifo ughaibuni?

Kweli siku hazigandi... Tuko season ya Pierre sasa.... Dr.. Kapotea kusikojulikana na mamilioni hatujawahi kuyaona... Kwa simulizi zake na mambo aliyopitia.... Kweli duniani kuna viumbe wa aina yake, na huyu ni mmojawapo

Jr
Ha ha ha, ngoja tusubiri season nyingine kuu kabla ya uchaguzi mkuu wa 2020.
 
Ni ngumu. Kuifananisha habari ya Dr na story za kutunga.
Bado najiuliza ujasiri wa kwenda kununua nyumba za bil 2. Ameupata wapi?
Amekaa rumande siku 6. Lakini ametoka kama alivyoingia.
Hii ina maanisha. Masuala ya kukamatwa yeye amezoea.
"Maswala ya kukamatwa amezoea"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Company haikuanzishwa na Dr Shika wholly from the scratch, kwa mujibu wa maelezo ya Dr Lancefort company ilikua ni kama tuseme National Milling Cooperation ya Tanzania, company iliyoanzishwa na serikali lakini baadae ikaja kufa baada ya sera mbovu za privatization.

Sasa Dr pamoja na wenzie walikuja kuipata Lancefort ikiwa ilikufa lakini assets zote zipo na inaonekana ilikua company kubwa yenye branches nchi kadhaa za Europe na mnamo miaka ya 1994 mpaka 2000 ilipata misukosuko mingi kwa nchi zote zenye branches

Ikiwemo mpaka Ireland ambapo Lancefort iliwekwa kwenye ufilisi na serikali Lancefort Ltd given leave to appeal court rejection to Supreme Court


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom