Recent content by jigili

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli wowote kwamba kazi za IT / Computer serikalini wana muda mwingi sana wa kupumzika bila kazi ?

    Kwamba administrator wa GePG, Tanesco, TRA, etc huyo ndiyo anakula shushu!!
  2. J

    JamiiForums Tanzania Jihadharini na utapeli wa mauzo kwenye maduka

    Huenda ikawa faida kwa wengine wasiojua kama mimi ndugu mjuaji!!!
  3. J

    JamiiForums Tanzania Jihadharini na utapeli wa mauzo kwenye maduka

    Tarehe 7/12/2024 kuna mteja alifika kwenye duka linalouza vifaa vya umeme kununua mojawapo ya bidhaa za umeme bahati mbaya akawa amekuja na kiasi cha pesa pungufu akaomba muuzaji aongee na bosi wake ambaye hakuwepo wakati huo amkubalie kununua kwa bei hiyo. Baada ya muuzaji kumaliza kuongea na...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Adhabu ya kunyonga hadi kufa imepitwa na wakati?

    Kusema ifutwe ni matumizi ya hisia kwenye uhalisia! Unawezaje kuishi nyumba moja na mtu aliyemkatakata mtoto baada ya kumnyang'anya mama wa mtoto mgongoni! Na ukahisi upo salama kabisa kuendelea kuishi nae mtaani, kwenye uhalisia huwezi thubutu kusema ifutwe si ajabu kukuta wewe unayesema...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Puza wa Tambaza alijiua?

    Aksante kwa kumbukumbu hii! Nyongeza kidogo kwenye kumbukumbu hii wanafunzi waliokamatwa kwenye zoezi la utambuzi walipelekwa Segerea kufungua gereza jipya!
  6. J

    JamiiForums Tanzania Uaminifu ni bidhaa adimu sana Tanzania

    Tumejielekeza sana kwenye maendeleo ya VITU badala ya maendeleo ya UTU ambao kwa kawaida una tabia ya kuleta na maendeleo ya VITU
  7. J

    JamiiForums Tanzania Uaminifu ni bidhaa adimu sana Tanzania

    Umeongea jambo muhimu sana na linatugharimu sana! Hata kwenye biashara leo hii ni vigumu kununua hata mafuta ya Alizeti njiani kwa sababu tu unaweza kuuziwa feki matokeo yake ukitoka Dom kuja Moro njiani mafuta chungu nzima wanunuaji hakuna japo wanaopita wanatamani wanunue na bahati mbaya hata...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Bodaboda mnawahi wapi?

    Tatizo la bodaboda kule kupatia mara moja wanafikiri mara zote wataendelea kupatia
  9. J

    JamiiForums Tanzania Shule ambazo mtoto anashinda siku nzima shuleni kama watu wazima kazini ni hatari kwa future ya mtoto zama hizi

    Daah! Hili sijui nani atatunasua utoto umekuwa mateso zama hizi tofauti na zamani
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mbona orodha ya matajiri Tanzania, Kenya, Uganda wengi ni Waarabu na Wahindi na si waafrika weusi?

    We kwa sababu sisi tuko huku tunawajadili wao hali ya kuwa wao wanazitafuta muda huu
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini wazawa utajiri wetu ni wa kawaida?

    Mbali na sababu nyingine pia sisi hatuna discipline pesa kidogo tu kila Mahali unataka “tutambuane”
  12. J

    JamiiForums Tanzania Huzuni/furaha tunazitengeneza sisi katika haya maisha, kila unachodhani kitakupa furaha kipo neutral + SULUHISHO LAKE

    Ni hisia unazozitengeneza mwenyewe kichwani kwako! Ndiyo maana hata mfungwa kuna wakati anakuwa na kicheko
  13. J

    JamiiForums Tanzania Huzuni/furaha tunazitengeneza sisi katika haya maisha, kila unachodhani kitakupa furaha kipo neutral + SULUHISHO LAKE

    Kwa maneno rahisi furaha ni subjective sio destination!!!
  14. J

    JamiiForums Tanzania Natamani kupata mwanamke mtafutaji kama mimi

    Wewe hutafuti Mke unatafuta mdau wa maendeleo!!!
  15. J

    JamiiForums Tanzania Huu ni wakati sahihi wa kununua viwanja Dar na kukamata maeneo nje ya mji

    Tafuta pesa viwanja hata posta vipo tu!
Back
Top Bottom