Recent content by JICHO LA TATU

  1. JICHO LA TATU

    Nataka kujua sifa za wanaume wa kinyakyusa

    Si kwamba hawaoi wanawake wa kabila lao isipokuwa ni wanaume ambao wanapenda kuheshimika sana akipanga kitu basi kisibishiwe (yaani ukoloni fulani hivi) sasa wanawake wa kinyakyusa hawako hivo cz katika vitu wasivyovipenda ni kupelekeshwa wao husimama katika haki, ndani ya nyumba kunakuwa na...
  2. JICHO LA TATU

    Ruge Mtahabwa, Umebug men!!!!!

    Haya bwana siye mashabiki tunachekelea ushindi tu, mengine yote watajijua wenyewe...
  3. JICHO LA TATU

    Filam ya Kibuyu

    Kipindi hicho iliwika kwa kweli halafu ni nzuri
  4. JICHO LA TATU

    Kuna kajotojoto hivi.... Lakini pia cha ajabu kuna wenye kaubaridi

    Rudi kwa wamoto, usisumbue akili za watu
  5. JICHO LA TATU

    Sauti ya "kike" inanisumbua usingizini

    Ikikuita we itika mwaya hata usiogope,
  6. JICHO LA TATU

    Tutaishi kwenye shida na raha!!!!!!!!!!

    Wapendanao msiwajadili
  7. JICHO LA TATU

    Wasanii 10 wanaoongoza kwa utajiri barani afrika{summary}.

    In red usimfananishe na wababaishaji wengine Huyo ndo msanii pekee anayejaribu kuvuka boda hasa bara la American anashirikiana vzr tu kimuziki na wasanii wa nje,Juzi tu katoka kupata tuzo huko Afrika Kusini, So utajiri unaozungumziwa hapa ni wa mapene na si kupotea kisanaa, Cz kuna wasanii...
  8. JICHO LA TATU

    Tafsiri yake ....

    Hivi ndo vijimambo vyenyewe vya dunia hii Mtu kama ndege Shorwe
  9. JICHO LA TATU

    Msafara wa Lema katika picha

    Sasa nchi yetu inaanza kukua kisiasa, hongera Mh. Lema
  10. JICHO LA TATU

    Picha: Daktari wa Rufaa Mbeya atiwa mbaroni kwa madai ya kupokea rushwa

    Mh? bila shaka huyo ni mgeni mgeni ngoja tu aijue kazi vizuri hizo shukrani atazihitaji tena kabla ya kutoa huduma. Ila rushwa kila sehemu ipo hospitali wanaandika mama mjamzito kujifungua bure. Kaa na akili ya bure bila ya kujipendekeza kwa nesi au dokta mbona utachina, huku wenzio wanapewa...
  11. JICHO LA TATU

    Mwana kioo cha jamii mwaingine anaumwa Taarifa kwa Jk

    Eti ujinsia ...Jamani watu wachokozi........
  12. JICHO LA TATU

    Kuwa wa kwanza kuiona KESHO- Video mpya ya Diamond Platnumz

    Asisumbue vichwa vya watu huo wimbo hajacopy kweli? Maana kuchamba kwingi kutoka na ma..vi
  13. JICHO LA TATU

    Msanii Sajuki Aanguka Jukwaani Arusha

    Ila wasanii wa Bongo sidhani kama wanapendana kweli?? Mungu amponye aendelee na majukumu yake maana anapitia kwenye matatizo kila kukicha.
  14. JICHO LA TATU

    Karibuni Kwetu

    Jamani huyu mdudu ni wa hatari kwa kweli nikimuona tu mwili unasisimka Mpende tu kama hujaingia kwenye anga zake. Lakini ni wa hatareeeeeeeeee
  15. JICHO LA TATU

    Nina mimba ya Miezi 9 natakiwa kusafiri kwenda ukweni

    Kama hayakuhusu unachangia ili iweje......
Back
Top Bottom