Recent content by JGGM

  1. JGGM

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mkristo kufunga ndoa mwezi huu wa ramadhani?

    Ndio. Roman Catholic wanaruhusu pombe
  2. JGGM

    JamiiForums Tanzania Mzize kuvunja record ya usajili Kwa wachezaji wa kitanzania

    Badala ya kumsifia kocha aliyemwamini kumuingiza timu ya wakubwa cha ajabu wewe unamsifia Hersi
  3. JGGM

    JamiiForums Tanzania Matumizi yangu ya mwezi

    Chakula ukiwa kazini, vocha, nguo na viatu kwa watoto, emergency cash
  4. JGGM

    JamiiForums Tanzania Namba makadirio ya ujenzi wa nyumba yenye bedrooms 3 na master 1

    Shukrani sana
  5. JGGM

    JamiiForums Tanzania Namba makadirio ya ujenzi wa nyumba yenye bedrooms 3 na master 1

    Asante. Hii ni boma tu au hadi finishing
  6. JGGM

    JamiiForums Tanzania Namba makadirio ya ujenzi wa nyumba yenye bedrooms 3 na master 1

    Naomba msaada wa kunifanyia makadirio ya nyumba ya kisasa yenye bedrooms 3 plus master room 1 ambayo itakuwa basement planned to be a kitcheni. Tukianzia kwenye boma lake itachukua sh ngapi Mahali ni Dar es Salaam
  7. JGGM

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kakataliwa kuomba chuo kisa ufaulu wa kidato cha nne

    Sio udsm tu bali ni mfumo wetu wote wa elimu inatakiwa awe na pass 5 za o-level kwanza ndo sifa zingine za ziada zinafuata
  8. JGGM

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Mwanaume akiweka bikira kigezo cha kuoa anapondwa, ila Mwanamke akisema anataka mchumba awe na kazi nzuri, pesa hapondwi?

    Ni kwa sababu hakuna mwanamke bikra kwa miaka hii, ukiona mwanmke bikra ujue ana matatizo ya kiafya tangia amezaliwa
  9. JGGM

    JamiiForums Tanzania Raia wa Kichina (mfanyabiashara ) achezea kichapo leo Kariakoo kutoka kwa kina mama wanyonge wenye hasira kali

    Badala ya kuandamana kama wakenya cha ajabu mnafanya utoto wa kufunga biashara, maana kuna wenzangu na mimi asipoingia kariakoo hamna ugali siku hiyo sijui itakuwaje. The best way ni kuandamana hayo mnayofanya ya kufunga maduka ni utoto. Tuliosoma Cuba tulimuelewa sana mkuu wa mkoa Albert...
  10. JGGM

    JamiiForums Tanzania Kigwangwala: Kama kudaiana, Simba tunamdai MO hela nyingi sana

    Sisi tunaupeo kuliko huyo Kigwangala wako. Note sentence yake ya mwisho yote ni njaa tu ili naye akapige pesa pale simba
  11. JGGM

    JamiiForums Tanzania Aliyefanya interview ya oral ya Utumishi wa Mahakama vipi majibu tayari?

    Walisema majibu watatoa kwa njia gani
  12. JGGM

    JamiiForums Tanzania Je, tangazo la TRA ni la kweli au uzushi?

    Nilichogundua ni kwamba mleta maada hajui kutumia internet maana angejua hasingeandika huu utumbo
  13. JGGM

    JamiiForums Tanzania Maswali gani huulizwa kwenye usaili wa kuandika Utumishi?

    😀😀😀Sorry bro
  14. JGGM

    JamiiForums Tanzania Maswali gani huulizwa kwenye usaili wa kuandika Utumishi?

    Acha kumpotosha mwenzio vyeti og ni lazima na kitambulisho mojawapo kati ya nida,vote,au passport ya kusafiria. Usibebe copies hata kama vimekuwa certified havikubaliwi Mwisho malekezo yote hutolewa kwenye lile tangazo la kuitwa kwenye interview lenye majina ya watu wote walioitwa
  15. JGGM

    JamiiForums Tanzania FT: Marumo Gallants 1 - 2 Young Africans | CAF Confederation Cup 17.05.2023

    Sawa tumeyahifadhi maneno yako
Back
Top Bottom