Recent content by Jgaja

  1. Jgaja

    JamiiForums Tanzania Bungeni, Dodoma: Kikao cha kwanza Bunge la 13 mwaka 2018

    Hii sharia mpya ya pension inayotaka kupitishwa na bunge ikoje!?
  2. Jgaja

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Sec/arts
  3. Jgaja

    JamiiForums Tanzania Biblia na biashara ya utumwa wa mtu mweusi Marekani

    Unapotosha ukweli kwa kuuita "janja janja za zitto"
  4. Jgaja

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo musoma dc nije nzega/igunga/kahama
  5. Jgaja

    JamiiForums Tanzania Msajili wa vyama vya siasa futa hiki chama cha CUF

    Ajenda kubwa ya CUF ya mnyamwezi na wafadhiri wake ni kuuvuruga kwa kuvigombanisha CUF original na vyama vingine vinavounda ukawa hasa CDM! Inàhitajika busara na akili ya ziada kukivuka hiki kiunzi
  6. Jgaja

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CUF wa Maalim Seif wavamiwa na watu wenye "mask". Wanachama na waandishi wapata kipigo

    Duuh, huyu mnyamwezi! Mungu anamuona!
  7. Jgaja

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wasanii wa Bongo Movie Waandamana kutoka ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dar Makonda

    Badala wapiganie kazi zao zisiibiwe wanapinga kazi za wenzao zinazofanya vizuri sokoni zisiuzwe, daah, waliko huko dunia ilishatoka zamaaaaani,
  8. Jgaja

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Msanii Roma na wenzake warejea rasmi uraiani. Kufunguka Jumatatu

    Na ole wake awe anatumika, ntamtoa kwenye ubongo wangu
  9. Jgaja

    JamiiForums Tanzania Diamond kamuomba Gwajima yaishe

    Hahahaha asubiri kristapeni zake kesho
  10. Jgaja

    JamiiForums Tanzania Katibu wa bunge la Tanzania anapatikanaje?

    Siyo kweli
  11. Jgaja

    JamiiForums Tanzania Ubunge wa EALA: CHADEMA hatukukosea, tutaenda Mahakamani kupinga Uchaguzi

    Hakuna 1/3 ya 2 ila chadema wasipo peleka mwanamke hata mmoja hiyo 1/3 itatoka wapi? Maana hiyo 1/3 wanatakiwa waliochaguliwa na kupitishwa na bunge! Hata kama wanatakiwa wabunge wa 2 wanaotakiwa kupita toka chadema na kuwa wabunge wa EALA kwann wasipeleke watatu na wakike akiwemo bac, ili hao...
  12. Jgaja

    JamiiForums Tanzania Ubunge wa EALA: CHADEMA hatukukosea, tutaenda Mahakamani kupinga Uchaguzi

    Cdm nao wamechemka katika hili, kwann wasipeleke mwakilishi mmoja akaungane na wanawake wenzie kama akipita ndo watengeneze hiyo 1/3!? Au walitaka hiyo 1/3 itoke ccm? Uchu wa madaraka kati ya wenje na mwenzie utawaponza
  13. Jgaja

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Bunge la Afrika Mashariki: Saba washinda, Mnyaa safi, Wagombea wa CHADEMA waangukia pua

    Awa azam nao wamegoma kurudi mubashara
Back
Top Bottom