Recent content by JF Biggie

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Salum Hapi afuta Hati ya Shamba la Waziri Mkuu Mstaafu, F. Sumaye

    Mtoa mada kisheria mkuu wa wilaya hana mamlaka ya kufuta hati kwa mujibu wa sheria ya ardhi Na.4 ya 1999....nakukumbusha tu
  2. J

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Mikocheni

    Mikochenk ndio eneo gani hilo...yaani lipo wapi?
  3. J

    JamiiForums Tanzania Wasomi wanapoamua kuweka elimu yao mfukoni,je tutafika?

    Inatia shaka na uwezo wa wasomi wetu,ukiangalia mambo yanavyofanyika unabaki unashangaa!
  4. J

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Dr Slaa
  5. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Joram Kihango vs Willy Gamba

    Ni wapi naweza kununua vitabu hv njama,kikosi cha kisasi na kufa na kupona vyote vimeandikwa na Elvis Musiba!
  6. J

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu: Umbo Lake Limerudi Kama Zamani!!!

    Duh namkumbusha tu kuwa pamoja na maangaiko yake yote 'akumbuke tu kuwa umri uwa haurudi nyuma' na kila chenye mwanzo..............!
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Ukichukua Vijana watano "Wachumi" wa rika langu lazima niwepo!

    Kwa aina ya waandishi tulinao,lazima ataonekana bora sana
  8. J

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji chama kipya?

    MM,vyama vipya kwa watu wapi?,kama vyama vipya kwa watu wapya tena wazalendo inawezekana,lakini kama vyama vipya kwa watu hao hao haiwezekani ni sawa na kulia na kucheka,zote ni kelele tu!
  9. J

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz, ndiye tajiri namba moja Tanzania kwa sasa!!!

    Pamoja na taarifa zao kuonyesha Mabilionea tulionao,bado utajiri wao ni wa mashaka zaidi!!!!!!!!!!
  10. J

    JamiiForums Tanzania Nimeamini sasa, dada Saro kapigwa risasi, mama mkubwa kauwawa!

    Poleni sana wafiwa.....................
  11. J

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi imebinafsisha upimaji wa Viwanja?

    Watz tusiwe watu wa kulaumu tu tena kutokana na maneno ya kuambiwa mtaani na bila kupata maelezo kutoka kwa wataalamu.Nitaeleza kidogo hapo kitaalamu,kwa mradi mkubwa wa upimaji wa viwanja vingi na ili kiwanja kiweze kuzalishwa lazima hatua zifuatazo zizingatiwe:- Taratibu za utwaaji wa eneo...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Lukuvi: Maendeleo ya kesi ya 'Masogange' huko Afrika Kusini na hii ndiyo ripoti yenyewe...

    Nchi hii story/siasa ni nyingi kuliko utendaji,hakuna sehemu ambayo tunasema tumeshinda zaidi ya kurushiana mpira,kitu kipo wazi lakini mzunguko wake utachoka kabisa,waliowatuma wapo na wanajulikana lakini ngojera zake ndio usisikie,kwa mtindo huo hatuwezi kufanikiwa hata kidogo na tutaendelea...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini si muumini wa Serikali Tatu...

    MM Hii haingii akilini hata kidogo,pamoja na maneno na hotuba nzuri za Mwl Nyerere bado suala la kuwepo kwa Serikali ya Tanganyika ndani ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano hauwezi kuliepusha hata kidogo.Vp inawezekanaje nchi yenye Idadi ya wananchi wasiozidi milioni 2 kuwa na Serikali yao na...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuondoa msongamano Dar...

    Pia huduma nyingi za kijamii zianzishwe pembezoni mwa hzi manispaa mbili ili kupunguza idadi ya watu kuja katikati ya mji bila sababu za msingi
Back
Top Bottom