4.Mkikutana mara ya kwanza kama mlikuwa hamfahamiani,anatarajia akukute smart,umetupia vitu kama suti,jeans na t-shirt ya ghalama,umenyoa vizur,unanukia manukato ya bei wakati yeye amekuja na gauni la PAJAMA,la tsh.2500 pale k/koo na amesuka mabutu,amepaka mafuta ya mgando(mamiz ama juakali.)...