Dada yangu Mwili Wako Sio Maonyesho Kila Mwanaume Auone,Mwili Wako sio Mdoli Kila Mwanaume Auchezee,Mwili Wako sio Dampo Upokee Kila Uchafu wa Mwanaume,Mwili wako sio Mali ya Umma kila Mwanaume Akutumie,Mwili wako sio Kiburudisho kila Mwanaume Ajiridhishe,Mwili wako sio Pazia la Sebuleni kila...