Recent content by JESHILAMILAMBO

  1. J

    JamiiForums Tanzania Tulichokunywa na kula Ikulu Chamwino

    Mkuu mbuna juice za Azam zipo vizuri tu. Au wakati wa kumimina ulitaka itokeje kwenye box kwa mfano. Nilitegemea useme labda baada ya kunywa uliharisha au kuna mtu mwingine kalalamika kwa kumsababishia side effect. Vinginevyo tuendelee kuthamini bidhaa za Kitanzania.
  2. J

    JamiiForums Tanzania UKAWA wazua hofu bungeni, polisi wajipanga kuwakabili

    Watafuatwa ndani ya mjengo na kuchomolewa mmoja mmoja kisha kwenda kuwashiwa nje.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mavazi mafupi yatawala Viwanja vya Bunge

    Kweli hawa ndio modern great thinkers wetu. Kwa hiyo kukosekana kwa vazi la taifa ndio unataka kutuambia umeshawahi kupita mbele ya mama yako mzazi ukiwa umevaa 'boxer'? Pamoja na kukosekana kwa vazi hilo basi katika mavazi tuongozwe na mila na desturi zetu za kitanzania kama siyo kiafrika.
  4. J

    JamiiForums Tanzania MwanaHalisi: Kikwete akomba hazina! Fedha zilizopo hazitoshi kuendesha serikali hata siku 20

    Hata kama siyo landcruiser pekee, hivi shilingi trilioni 20 unazijua wewe?
  5. J

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Magufuli afanya ziara ya kushtukiza Wizara ya Fedha

    Mkuu kwani ninyi huko shule mlisoma nini, maandishi yenye rangi nyekundu ndio ujinga uliokithiri
  6. J

    JamiiForums Tanzania GE2015 Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5

    Dogo, subiri aapishwe, usiwe na haraka, step by step!
  7. J

    JamiiForums Tanzania Matokeo yanayoendelea kutangazwa na NEC yana dosari nyingi

    Ni kweli Mkuu atakuwa na wakati mgumu saana maana alishasema hataki mchezo,yeye ni kazi tu
  8. J

    JamiiForums Tanzania TBC na magazeti ya Serikali vishitakiwe

    Mkuu ulitaka nani hasa akashitaki? ukiona wanachelewa anza wewe, kafungue kesi ya nini kusuasua?
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe: UKAWA haitambui matokeo ya Urais yanayotangazwa na NEC

    Mi nayaamini kabisa!
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini ITV wanaegemea sana CHADEMA?

    Ukiwa unachomwa sindano mdogo wangu inabidi utulie dawa iingie vizuri, usimporomoshee matusi, maana anaweza kuamua kugandamiza sindano hadi kwenye mfupa ukawa kilema bure. tafadhali tuli.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini ITV wanaegemea sana CHADEMA?

    Ni kweli Mkuu kama ilivyo kwa Star tv, huna haja ya kuihoji eti kwa nn inatangaza propaganda za chama dume
  12. J

    JamiiForums Tanzania SURVEY SAYS Tanzania’s presidential race is not as tight as previously thought—not even close

    Well said Andersy. Kuna watu wanatoa povu humu utafikiri tayari kura zimeshapigwa na matokeo kutangazwa. Wamesahau kuwa huo ni utafiti tu ambao ukifanywa mwezi ujao matokeo yanaweza kuwa tofauti
  13. J

    JamiiForums Tanzania Ni lini Rais anatakiwa atoke Ikulu?

    Hahaha dogo nami umenikumbusha mbali sana ndio maana hata mi ni nguin kama wewe
  14. J

    JamiiForums Tanzania Clouds TV na Clouds Radio wanaegemea CCM Zaidi

    Kibo10 ''Mlianza na Mungu, mpo na Mungu na mtamaliza na Mungu''.............sasa hapo sijui povu la nini, au Clouds ni kubwa kuliko Mungu na ndio maana unalalamika/
Back
Top Bottom