MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 29,097
- 35,478
Soma vizuri Katiba ya yetu, inasema hivi ,,Raisi wa JMTZ ni raisi mpaka pale raisi mwingine anapoapishwa" hivyo kwa kifupi ni kwamba Raisi aliyepo atabakia kuwa raisi wa JMTZ na madaraka yake yote mpaka pale atakavyoamua kumkabidhi madaraka Raisi ajaye baada ya kuapishwa, hivyo baada ya tu ya Dr.Pombe Magufuli kuapishwa basi yeye ni raisi wa Tano wa JMTZ na swala la kuondoka Ikulu kwa raisi aliyemaliza muda wake ni swala la mpangilio tu!
Sasa kama unafikiri Raisi wa Chama Dola CCM atamkabidhi madaraka fisadi Lowasa na Genge lake, basi endelea kuota!
Inapendeza sana