Hayo ndio madhara ya kuliwa kibo..ga
Hapa ni Azamu TV tu ndiyo tunaitegemea zilizo paki zote ni ukabila'ukanda'na itikadi sielewi wanapataje Kuwa Superb land ??
Kwanini TBC na Star Tv wanaripoti ccm tu? Ukishajibu hilo nutakuja kukujibu swali lako la kichama..sijaona kwenye taarifa ya saa mbili wakitoa taarifa za ccm majimbo waliyoshinda ila ni chadema tu?
Wachaga ni watu hatari sana kwa ukabila
sijaona kwenye taarifa ya saa mbili wakitoa taarifa za ccm majimbo waliyoshinda ila ni chadema tu?
sijaona kwenye taarifa ya saa mbili wakitoa taarifa za ccm majimbo waliyoshinda ila ni chadema tu?
Ni kweli Mkuu kama ilivyo kwa Star tv, huna haja ya kuihoji eti kwa nn inatangaza propaganda za chama dumeitv haiendeshwi kwa kodi yako. tbc ndio ya kuhoji kwa nini inaonyesha habari za ccm tu?