Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,770
- 165,399
Katika habari inayohusu Spika mstaafu, mama Makinda kukiri baadhi ya wabunge kumpa changamoto katika Bunge lililopita, mwandishi pia ameripoti habari ya nyongeza inayohusu wabunge wengi wa kike vijana kuonekana wakiwa wamevaa mavazi mafupi katika viwanja vya Bunge huko mjini Dodoma siku ya jana.
Chanzo: Mwananchi
Namshauri Spika ajae azingatie "dress code" kwa wabunge wawapo Bungeni.
Kama Bunge halina dress code-kitu ambacho sitarajii-basi iwe introduced sasa.
Chanzo: Mwananchi
Namshauri Spika ajae azingatie "dress code" kwa wabunge wawapo Bungeni.
Kama Bunge halina dress code-kitu ambacho sitarajii-basi iwe introduced sasa.