Kwanini ITV wanaegemea sana CHADEMA?

Kwanini ITV wanaegemea sana CHADEMA?

Wewe subili tinga tinga lingie ikulu wote wanao sapot hilo fisadi lowassa na lowasa segerea inawahusu
 
W **** nn mbona usemi Chanel 10, star TV na TBC au unawashwa, wa2 tushavulugwa saiz na ayo matokeo yenu ya kisenge

Ukiwa unachomwa sindano mdogo wangu inabidi utulie dawa iingie vizuri, usimporomoshee matusi, maana anaweza kuamua kugandamiza sindano hadi kwenye mfupa ukawa kilema bure. tafadhali tuli.
 
sijaona kwenye taarifa ya saa mbili wakitoa taarifa za ccm majimbo waliyoshinda ila ni chadema tu?
We mpuuzi kabisa nilitegemea uhoji TBC au Star TV ambao hata uwe mbumbumbu wa kiwango cha juu utagundua kuwa wanaipendelea CCM wao ni sawa tu kwa maoni yako. Ukapimwe akili.
 
Huu ujinga wenu ndio maana Wachaga wamewafundisha adabu kwa vitendo mmekosa hata mbunge mmoja kwao na ni vyema mkazifunga ofisi za ccm kule na hawa kina Davis Mosha muwafukuze ccm maana ni mamluki tu wa Chadema.

Hamna tatizo mangi,,kaeni na moshi yenu chagadema, ila tz yenye magesi na mavitu yote haya hatuwezi kuwapa.
 
We mpuuzi nilitegemea uhoji TBC Na Star TV ambao wanaonesha upendeleo wa wazi kwa CCM ambao hata uwe bumbumbu wa kiwango cha juu hutashindwa kubaini kasoro hiyo, kwa maoni yako unaona kwa hao ni sawa tu ukapimwe akili
 
Ukiwa unachomwa sindano mdogo wangu inabidi utulie dawa iingie vizuri, usimporomoshee matusi, maana anaweza kuamua kugandamiza sindano hadi kwenye mfupa ukawa kilema bure. tafadhali tuli.

Aisee magufuli atamtoa kilema babu zezeta
 
Mengi mzee mnafiki sana huyu.ila mwisho wake unakaribia sijuwi atamlalamikia nani.pumbavu sana
 
Mmiliki wa ITV anatoka wapi na watangazaji wengi ni kutoka wapi na wagombea wa ukawa wanatoka wapi ukifahamu hayo ndo urajua sababu zake
 
Mbona TBC an Star TV wanaegemea CCM hatusemi wewe mtoa mada
 
tbc na *tv wahujumu wa uchumi na maendeleo ya wtz; station hiz 2 hazipendi kabisa kuona wtz wamatoka ktk hali ya utumwaccm : hongera cn ITV na watanzania walio maskini watawakumbuka sana kwa ushujaa na utendaji uliotukuka
 
Ebu zungusha mikono hapo ulipo unaweza ukapata mabadiliko ya mwili
 

  1. Arumeru Magharibi – Gibson Ole Mesiyaki CHADEMA
  2. Arumeru Mashariki – Joshua Nassari CHADEMA
  3. Babati Mjini – Pauline Gekul CHADEMA
  4. Bukoba Mjini – Lwakatare Wilfred Mugyanyizi CHADEMA
  5. Bunda Mjini- Esther Bulaya – CHADEMA
  6. Buyungu – Bilago Samson CHADEMA
  7. Hai -Freeman Mbowe CHADEMA
  8. Iringa Mjini – Peter Msigwa CHADEMA
  9. Kaliua – Magdalena Sakaya CUF
  10. Kawe – Halima Mdee CHADEMA
  11. Kibamba – John Mnyika CHADEMA
  12. Kigoma Mjini – Zitto Kabwe ACT
  13. Kilwa Kaskazini - Vedasto E Ngombale CUF
  14. Longido - Onesmo Nangole CHADEMA
  15. Mbeya Mjini- Joseph Mbilinyi CHADEMA
  16. Mchinga- Hashim Hassan Bobali CUF
  17. Momba – David Ernest Silinde CHADEMA
  18. Monduli – Julius Kalanga CHADEMA
  19. Moshi Vijijini – Anthony Calist Komu CHADEMA
  20. Moshi Mjini- Jaffary Michael –CHADEMA
  21. Mtwara Mjini - Maftah Abdallah Nachuma CUF
  22. Ndanda- Cecil Mwambe CHADEMA
  23. Rombo- Joseph Selasini CHADEMA
  24. Same Magharibi- Livinston N Kaboyoka CHADEMA
  25. Serengeti - Chacha Marwa Ryoba – CHADEMA
  26. Siha - Dr. Godwin Mollel CHADEMA
  27. Singida Mashariki – Tundu Lissu CHADEMA
  28. Tandahimba- Ahmed Katani CUF
  29. Tanga Mjini – Musa Bakari Mbarouk CUF
  30. Tarime Mjini - Esther Matiko CHADEMA
  31. Tarime Vijijini – Heche john CHADEMA
  32. Temeke - Abdallah Ally Mtolea CUF
  33. Tunduma – Mwakajoka Frank CHADEMA
  34. Ubungo- Said Kubenea CHADEMA
  35. Vunjo – James Mbatia NCCR-MAGEUZI
 
Back
Top Bottom