TBC na magazeti ya Serikali vishitakiwe

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Kufuatia kuegemea kwenye chama kimoja kati ya vyama 23 vya siasa vyombo hivyo ambavyo vinaendeshwa kwa kutumia kodi za watanzania woote bila kujali itikadi ya chama vimeonyesha upendeleo mkubwa sana. Hivyo ni vizuri na haki wakishitakiwa kwa kuhujumu kodi za watanzania
 
Halafu na habari corporation newspapers nao washitakiwe pamoja na freemedia corporation na Tanzania Daima nao wasiachwe kwa kola hivohivo la kuegemea upande mmoja

Kwa uelewa wako ndio hapo ulipo ishia siwezi kuku laumu maana mulugo na div 5 yake kawaharibu watoto wetu ukiwemo wewe
 
Unapotumia chombo chochote ambacho unajua fika kwamba kinaifikia jamii kwa kiwango kikubwa hata kama ni mali yako binafsi,
Na ukaweka habari ambazo sio balanced basi unakuwa hujatenda haki.... Na utambuwe tunanunua hayo magazeti hatupewi bure hivyo una haki ya kushitakiwa na sheria kuchukua mkondo wake
 
Pole sana kwa kubakia ndani ya box, sikilizia zanzibar huko watu wanachukua nchi kiulaiiiniiiiiii; mtalielewa somo tu
 
Mi siko zanzibar kwa hiyo huko sio mada tuliyonayo hapa, IKULU huwa haiendeki kuwa mfumo huo wa maalim seif dunia hii sio ile ya kina karume the great ni ya kidemokrasi na si domocrazy
 
vishitakiwe wapi, kwenye hizi hizi mahakama zetu zilizotafsiri kuhusu Mita 200 ??? hahaha wait a century kwa hilo.
 
Mi siko zanzibar kwa hiyo huko sio mada tuliyonayo hapa, IKULU huwa haiendeki kuwa mfumo huo wa maalim seif dunia hii sio ile ya kina karume the great ni ya kidemokrasi na si domocrazy

Endelea kutega sikio baada ya kujua nini kinaendelea ndio utakuwa na adabu kwa ukawa
 
Mi siko zanzibar kwa hiyo huko sio mada tuliyonayo hapa, IKULU huwa haiendeki kuwa mfumo huo wa maalim seif dunia hii sio ile ya kina karume the great ni ya kidemokrasi na si domocrazy

Utalazimika kujua tu maana ni sehemu ya tanzania pia
 
wala usijali! mh. Lowassa akiingia tu pale ikulu ndo cha kwanza atakachoanza nacho!
 
Tatizo la Ukawa lipo hapa, uoga wa matokeo. Wanaisifia ITV kila kukicha kuwa ni chombo huru wakati wote Tunauona ukweli.
 
Attachments

  • 1446018286393.jpg
    1446018286393.jpg
    28.6 KB · Views: 71
Halafu na habari corporation newspapers nao washitakiwe pamoja na freemedia corporation na Tanzania Daima nao wasiachwe kwa kola hivohivo la kuegemea upande mmoja

Mkuu acha kujivunjia heshima kirahisirahisi namna hii.Ni nani aliyekuambia kuwa freemedia inaendeshwa kwa kodi yangu au yako (if at all huwa unalipa kodi yenyewe)
 
Back
Top Bottom