Recent content by jerrysonkiria

  1. jerrysonkiria

    Mimi ni graduate ila siwezi kuendesha bodaboda wala kufanya kazi yoyoye kisa tu hela

    Oya are you sure ? Ila safi sana inabidi ujiamini hivyo hivyo
  2. jerrysonkiria

    Msaada wakuu Bachelor degree in gender and development

    Human Resources ukisoma hakikisha unapata G.P.A nzuri itakayokufanya uendelee na Masters utafurahia kazi yako ya kusimamia watu makazini na rasilimali zao.
  3. jerrysonkiria

    Kati ya Supplimentary na Carry-Over ipi inawekewa nyota kwenye cheti ngazi ya chuo kikuu?

    PAMBANA Hakuna Nyota yeyote iwekwayo kwenye transcript, Bali ukiwa na Ma "C" Mengi transcript yako inaonekana ulikuwa mtu wa Sup sana. Piga kitabu. Kwa uhadhiri wanatazama vigezo vyao, Mara zote Ni G.P.A Kingine jifunze kuandika maneno yakamilike, ukizoea kuandika uandikavyo utadharaulika...
  4. jerrysonkiria

    Mjue Frederick De Klerk 1936-2021 Mkombozi wa Afrika Kusini

    Hapa Hakuna historia ya kwenye vitabu iliyo ongezewa na kupunguzwa mambo, hii imeandaliwa na alieshuhudia siasa ya Afrika Kusini na ukombozi wake. Pia unaweza kuongeza unayojua kumuhusu De Klerk mkuu.
  5. jerrysonkiria

    Mjue Frederick De Klerk 1936-2021 Mkombozi wa Afrika Kusini

    MJUE FREDERICK DE KLERK 1936-2021 Mkombozi wa Afrika Kusini Najua wajua lakini acha wanaojua kidogo wajue zaidi. Ninataka umjue rafiki wa Waafrika weusi kwenye kundi la weupe wachache, watawala fedhuri Makabulu (boers) wa Afrika kusini. Mtu huyo wa ajabu ni Frederick de Klerk rais wa mwisho...
  6. jerrysonkiria

    Sitosahau utamu wa mume wa dada yangu

    Uandishi wa mwandishi ni mbovu mno !!!
  7. jerrysonkiria

    Siku 100 za Serikali ya CHADEMA madarakani

    Shule ya sekondari Mapupalasa ikitoa Sera zake baada ya kupata Ukaka mkuu
  8. jerrysonkiria

    GE2020 TBC kama inahisi mikutano ya Wapinzani ina shida bora isiende Live kuliko wanavyofanya

    ".......Japo maneno yalikuwa makali kiasi chake,........."
Back
Top Bottom