Uchaguzi 2020 Mnataka tuendelee kuwa na Rais wa miundombinu? Ingekuwa miundombinu ndiyo kipaumbele cha mtu wachina wasingekamatwa kwenye makontena wakizamia Ulaya

Majengo ya CCM ni ya vyama vyote mwaka 1991 baada ya Tanzania kutangazwa ni Nchi ya mfumo wa vyama vingi ilipaswa majengo viwanja mali za CCM vigawanywe kwa vyama vyote, chadema haiwezi kujenga jengo jipya wakati inajua majengo ya CCM ni yao.
 
we unadhani walifanya yote hayo kwa kupenda? walijaribu kupigana na hawa wavamizi bt kwa kua walikua na silaha duni ndo maana mambo yaliwaendea kombo wakasalimu amri bt hii sio sababu yakutaka tuendelee kujidharau na kujidunisha.
Waafrika wa Sasa ni sawa na kizazi cha watumwa akichekani angalau kile Cha wapigania Uhuru kilikuwa strong hiki uburuwa na watawala bila mabeberu sababu ya the Hague na kuogopa misaada waafrika wangemsalia mtume toka kwa wakoloni weusi
 
Hamnaga dogo, Juzi tu wakati mnazungusha mikono mlidai mtafufua shirika la ndege na kujenga flyover! Leo hamzitaki tena, Wapinzani mnahitaji kutambikiwa akili zenu sijui kama zina akili!!!!!! Mnaboa mjue
 
Hamnaga dogo, Juzi tu wakati mnazungusha mikono mlidai mtafufua shirika la ndege na kujenga flyover! Leo hamzitaki tena, Wapinzani mnahitaji kutambikiwa akili zenu sijui kama zina akili!!!!!! Mnaboa mjue
Hizi ndo akili za Lumumba buku 7.
 
ccm ni chama wanyonge na mnyonge ni mtu asiyejiweza wala kujitambua
ukichunguza wengi wa wanaopenda ccm utawahurumia sana hata maisha wanayoishi ni shida tupu.
kuna vijiji mpaka karne hii havina maji ila wala huduma za afya harafu unakuta eti nao ni ccm.
kweli nimeanza kuamini msemo wa mzee wangu kuwa mtaji wa ccm ni wananchi wajinga wajinga.
 
Waafrika wa Sasa ni sawa na kizazi cha watumwa akichekani angalau kile Cha wapigania Uhuru kilikuwa strong hiki uburuwa na watawala bila mabeberu sababu ya the Hague na kuogopa misaada waafrika wangemsalia mtume toka kwa wakoloni weusi
mabadiliko ni fikra hivo tunapaswa tuache kua watumwa wa fikra za mzungu ili tujitawale kwa haki na demokrasia zetu, ikiwa wapgania uhuru waliweza hata sisi tunaweza tunachokosa ni utayari pekee, hata amerika na china zimetawaliwa na muingereza bt leo muingerezeka kazidiwa kila kitu na makoloni yake.
 
Tatizo ule moto uliokuwa ukizunguka miaka nenda rudi umeharibu akili za watu wengi. Umeandika vitu vizuri halafu unaonekana una exposure kiasi lakini kijana ambaye amezaliwa Jimboni kwa Ndugai na kupata elimu yake ya Advance Ndanda then University Dodoma au Dar es salaam ashaibiwa akili. Hajui chochote zaidi ya kuwa admin wa Whatsap kwenye magroup 5
 
Sera na mifumo inawafanya waafrika kuwa masikini mtu akiwa masikini ni lzm awe mjinga, check mfano polisi anaishi maisha duni lakini anampiga rungu mpinzani anayemtetea bungeni anaibeba ccm hio hio imfanyae kuwa masikini kwa ujira wa mbuzi huku wanasiasa wakiishi peponi hapa tuseme shida Ni fikra au nn
 
"...Wanadamu wapo wenye kashukuru, na wapo wasioshukuru.
Wapo walionufaika kwa hayo wewe unaona yasiyomana.... Ndomana nasema , Hata Mungu kwa wema wake na vyote vizuri alivyoviumba, kuna manyumbu Bado yanamuona hafai."
Kiukweli hii chata ya Burigi imeua nchi kiuchumi na mbaya kuliko ni kurudi tena miaka mitano mingine hapa ndo sura halisi na matendo yake yatakuwa hadharani natabiri kuwa watu watachinjwa hadharani.
 
Unawashawishi Watanzania wachague majambazi na wauza nchi...
2015 waliuza kiti cha kugombea uraisi hadi wamemfanya mzee wa watu dk Slaa awasusie chama chao

2020 walitaka kumuzia Membe ila Membe akachomoa
 
Wezi mtakoma bado miaka mingine mitano.Hasira za nini! Hakuna mbadala kwenye vyama vya upinzani Tundu lissu mwenyewe au Mbowe hawana jipya! Mtu hotuba yake analalamika tu bila kutoa mipango mikakati yao.mwacheni Magufuli wetu
 
Back
Top Bottom