Recent content by jerryperry2020

  1. jerryperry2020

    Hawa wezi wauawe tu aisee, nimeibiwa milioni 10 kwenye gari langu(nissan juke)

    Haupo siriaz kuibiwa ndo hadi utaje namba E ya nn
  2. jerryperry2020

    Nimedondoka kwenye penzi zito na bosi wangu

    Ushalia baada ya jamaa kula tunda kimasihara na kutoa posa kwa manzi wake wa sikuzote kumbe ulishalijua hilo alikuambia wazi
  3. jerryperry2020

    Kitila Mkumbo; NHC, NSSF, TBA, Watumishi Housing vipi?

    Pia SUMATRA,LATRA na EWURA zikiungwa tukawa na regulatory authority moja itafaa sana
  4. jerryperry2020

    Wamiliki wa magari kutembeza magari yao wakiwa wametoa plate number ya mbele

    Hakika wewe lazima ni great thinker yawezekana ni code
  5. jerryperry2020

    Wamiliki wa magari kutembeza magari yao wakiwa wametoa plate number ya mbele

    Hili ni jukwaa huru siyo lazima wote tuongelee mambo yanayotuhusu kama wewe
  6. jerryperry2020

    Wamiliki wa magari kutembeza magari yao wakiwa wametoa plate number ya mbele

    Nawasalimu wadau Bila kupoteza muda, miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa sana la wamiliki wa magari kutembeza magari yao wakiwa wametoa plate number ya mbele na kuziweka ndani, hii hali nimeiona zaidi nikiwa mkoa wa dodoma. Sasa sijui ndo mageuzi au basi tu ni kupungua kwa...
  7. jerryperry2020

    Je, hili la michezo ya upatu ni tatizo la afya ya akili au ulimbukeni tu?

    Salaam wakuu Nimejaribu kutafakari Wimbi la watanzania kuingia kwenye michezo mbali mbali ya upatu pamoja na tahadhari nyingi kutolewa na hata kusikia kilio cha wengi baada ya Deci na wengine wanaofanana na hao. Jana kuna mdau kaja akijinasibu kuingia kwenye Berry. Compounding huku akinisihi...
  8. jerryperry2020

    Kupotea kwa maadili kuongezeka

    Nawasalimu nyote pamoja na kuwa bize kwa habari za soka la watani wa jadi nisiwachoshe sana. Jana nikiwa mkoa wa Moro nikipata chakula cha mchana bar moja maarufu karibu na stendi ili niweze kuendelea na safari alikuja mama mmoja mtu mzima akanisalimia kwa bashasha na kueleza kuwa yeye ni...
  9. jerryperry2020

    Ina maana gani kuota unatembea uchi mbele ya watu?

    Omba huruma ya Mungu hapo kuna mambo mawili kushuka ngazi inaonesha utashuka kiuchumi au cheo au hata kuporomoka kibiasha tena kwa aibu ndo maana upo uchi au pia ni ishara siri zako kuwa hadharani hivi karibuni
  10. jerryperry2020

    Matapeli Kazini - Barter

    hata mm wamenitumia japo niliwapuuzia ila kama unavyosema huchelewi kuta kuna watanzania kibao wameshaingia mkenge na utapeli huu
  11. jerryperry2020

    Saa 11:20 alfajiri unapishana na schoolbus zenye watoto wa miaka 4

    mimi wanangu nilipoona ratiba ya school bus ndo kama hiyo nikasitisha mara moja maana mtoto anaamka usiku na anarudi jioni kachoka hata kula hawezi ni kulala tu ikabidi nifute hayo mambo ya school bus anaondoka asubuhi saa moja namshusha shule ndo naenda job walau imesaidia naona hata darasani...
  12. jerryperry2020

    Naomba msaada wa kutatua tatizo la rejeta kwenye Subaru Impreza

    nashukuru mkuu maana hata hao niliwapelekea walichukua siku nzima wakasema tatizo limeisha ila mambo yako vile vile
Back
Top Bottom