Matapeli Kazini - Barter

Jaylee

Member
Apr 15, 2009
64
93
Ni mara ya pili natumiwa ujumbe huu: -

Hello, you have been selected for a part-time / full-time job. Daily salary of 50000+ to accept work: t.me/martina669

Mara ya kwanza nilipuuzia ujumbe huu ambao ulitumwa kwenye simu yangu kwa kuwa nina hakika ni wa kitapeli. Nifahamuvyo hukuna kazi inayolipa kiwango hicho na ikapatikana kirahisi au kienyeji namna hiyo. Leo nimetumiwa kwa mara nyingine na inawezekana ni watu wengi wanatumiwa. Nimeona niuanike hapa ili wasaka ajira wasiingie mkenge.

Ahsanteni
 
hata mm wamenitumia japo niliwapuuzia ila kama unavyosema huchelewi kuta kuna watanzania kibao wameshaingia mkenge na utapeli huu
 
Nimetumiwa sasa hivi: Register as a new user to get 12000TZS.Complete the task to get 30000TZS everyday.For persons over 22years old only. Download TG to get. t.me/A1 GF kpl
 
Nimefata maelezo yao we kukutamanisha wawmeniwekea 65000 eti naweza withdraw 60000 kila nikijaribu inakata nauliza wananijibu natakiwa deposit kiasi chochote kuanzia 5000 na page ya mfano ni mtu kadeposit 100000 nimekimbia mbio kama kuna 65000 kwanini hiyo buku tano wasiitolee humo nikaamua kuja kugooglr nakutana na huu uzi
 
Attachments

  • Screenshot_20220609-174719.jpg
    Screenshot_20220609-174719.jpg
    80 KB · Views: 14
Nimefata maelezo yao we kukutamanisha wawmeniwekea 65000 eti naweza withdraw 60000 kila nikijaribu inakata nauliza wananijibu natakiwa deposit kiasi chochote kuanzia 5000 na page ya mfano ni mtu kadeposit 100000 nimekimbia mbio kama kuna 65000 kwanini hiyo buku tano wasiitolee humo nikaamua kuja kugooglr nakutana na huu uzi
ungepigwa.
 
Ni mara ya pili natumiwa ujumbe huu: -

Hello, you have been selected for a part-time / full-time job. Daily salary of 50000+ to accept work: t.me/martina669

Mara ya kwanza nilipuuzia ujumbe huu ambao ulitumwa kwenye simu yangu kwa kuwa nina hakika ni wa kitapeli. Nifahamuvyo hukuna kazi inayolipa kiwango hicho na ikapatikana kirahisi au kienyeji namna hiyo. Leo nimetumiwa kwa mara nyingine na inawezekana ni watu wengi wanatumiwa. Nimeona niuanike hapa ili wasaka ajira wasiingie mkenge.

Ahsanteni
Link ya telegram hiyo ukiclick utazungumxa na kaka tapeli
 
Ni mara ya pili natumiwa ujumbe huu: -

Hello, you have been selected for a part-time / full-time job. Daily salary of 50000+ to accept work: t.me/martina669

Mara ya kwanza nilipuuzia ujumbe huu ambao ulitumwa kwenye simu yangu kwa kuwa nina hakika ni wa kitapeli. Nifahamuvyo hukuna kazi inayolipa kiwango hicho na ikapatikana kirahisi au kienyeji namna hiyo. Leo nimetumiwa kwa mara nyingine na inawezekana ni watu wengi wanatumiwa. Nimeona niuanike hapa ili wasaka ajira wasiingie mkenge.

Ahsanteni
Nimetumiwa Jana nikafuta
 
Back
Top Bottom