Point ni kwamba, una uhakika ndio sawa, ila hamna haja ya kuwa na expectaction kubwa kuwa ni lazimaa kana kwamba ni fomula kuwa kuingia orla lazima upate kazi, ni vema kutizama factors nyingine kama ushindani, idadi ya nafasi, etc
Vinginevyo ni IMANI YAKO KWA MUNGU na sio fomula unayotumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.