Utachelewa sana kumuelewa huyo bwana mdogo...utaona tu matunda ya hiyo unayoita video mbaya yebye budget kubwa...huyo ndio Almasi Domo bhana usimu under estimate
Ukisikia upele huwa unamtokea asiye na kucha ndio hii.Ngoja akue kidogo mkuu itakuja thread hapa heading yake utasikia "nimezalishwa na boyfriend wangu wa utototoni afu hanitaki tena" tumpe ushauri
Habari za majukumu ndugu zangu,sorry sana kwa usumbufu,but nilikuwa najaribu kutafuta mawasiliano ya chuo cha nursing tosamaganga iringa,kama namba za simu kwa ajili ya kutaka kujua ada zao,qualifications na utaratibu kwa ujumla kwa ajili ya mdogo wangu,unfortunately simfahamu hata mtu mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.