Recent content by jeroy

  1. jeroy

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kwa aliyewai kununua tinga tinga fx robot

    Nenda youtube kachek ict vdeo zake zile core umalizie na ile 2022 mentorship zen trade demo ingawa hii njia ya kujisomea mwenyew ni ngumu lakin elewa always free is expensive ita ku cost mda ku elewa but utakua ze best in market...ila kama unataka uishie kusema forex ni scam basi tafuta mentor
  2. jeroy

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kwa aliyewai kununua tinga tinga fx robot

    Forex terminology ni nying sana...kwa mfano sisi wa ict hyo m na w tunaeza ita swing failure au liquidity run wengne wataita doble bottom au double top concepts ni ile ile moja...haya mambo ukianza lazima uchanganyikiwe ila mwsho wa siku utakuta hamna jipya ni maneno tu ya kukuchanganya[emoji3]
  3. jeroy

    JamiiForums Tanzania Je, Forex Trading inaweza kunitoa kimaisha hapa Tanzania?

    [emoji38][emoji23][emoji23][emoji23]
  4. jeroy

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Innocent defendant napata kwenye tovut ipi ni download
  5. jeroy

    JamiiForums Tanzania Walimu acheni tamaa za ovyo

    Kijana acha wivu tafuta hela! Au hujaiona report ya cag kuna mabilion yanatafunwa huko ww umekazana kuandika thread za buku mia mbil za walimu[emoji23][emoji23][emoji23]
  6. jeroy

    JamiiForums Tanzania Waraka kwa Rais Samia kuhusu vilio vyetu sisi Wahandisi tulioajiriwa kama Walimu

    Inabid atafutwe mbunge yoyote kama msukuma akaliulize hili swali bungeni nadhan majib yanaweza kupatikana
  7. jeroy

    JamiiForums Tanzania Je, Forex Trading inaweza kunitoa kimaisha hapa Tanzania?

    Demo hii si et trader?
  8. jeroy

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Ko mpaka kesho tena... duuh
  9. jeroy

    JamiiForums Tanzania Umewahi kutana na Mpenzi kichefuchefu wa namna hii?

    Nilivyoanza kusoma nlitaka nikutukane yaan uliniudhii..ila umemaliza vzur sana kamanda hongera huo ndo uanaume..maamuz saaf hpo hamna dem ila kuna baharia tu
  10. jeroy

    JamiiForums Tanzania Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

    Hiv ndo ww upo unasimulia radio free muda huu kipindi cha sitosahau?
  11. jeroy

    JamiiForums Tanzania Uliza swali lako kuhusu CFD, Options, Bonds, Stocks and Currency Trading (Forex)

    Naomba nielekeze namna ya kununua bitcoins sio kwaajir ya kutrade ila kwaajir ya kuivest
  12. jeroy

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu ni muhimu sana kwangu

    naona mkuu kikombe cha nyika kijakupitia bado umeshikiria pride yako..hongera [emoji38][emoji38][emoji38]
  13. jeroy

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu ni muhimu sana kwangu

    Aisee hii situation nami imenikuta! Nilifnya interview kwny kampun ya private inayojihusisha na uchimbaji wa madin mnamo april mwaka huu..nikaambiwa nitaitwa kazin December..sasa kutokana na covid19 ilivopiga company nying hpo katkat nikapoteza matumain ya kuitwa kazin, sasa zilipotangazwa nafac...
  14. jeroy

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani, Ajira mpya za ualimu

    Tupe mrejesho mkuu..nin kinaendelea huko baada ya kureport
Back
Top Bottom