Recent content by Jeremiah Stephin

  1. Jeremiah Stephin

    JamiiForums Tanzania Filamu fikirishi kuhusu Dini, Falsafa na Saikolojia

    Wale watu wa Philosophy,Psychology na Great Thinkers,Hizi ni baadhi ya movies ambazo ukiziangalia Lazima ufikirishe sana ubongo na kujiuliza hivi walifikiria nini kucheza hizi filamu. 1.The da vinci Code(kutoka kwenye riwaya ya Dan Brown) Movie inazungumzia siri zilizo fichwa kwa kutumia...
  2. Jeremiah Stephin

    JamiiForums Tanzania Dunia haieleweki, maisha hayaeleweki

    Nitaisoma..ila habari za yesu ni propaganda za waisrael..
  3. Jeremiah Stephin

    JamiiForums Tanzania Dunia haieleweki, maisha hayaeleweki

    Ni kama tunavyowafuga kuku wanakuwa wengi kisha tunawachinja mmoja baada ya mwingine..dah
  4. Jeremiah Stephin

    JamiiForums Tanzania Dunia haieleweki, maisha hayaeleweki

    Fact sana
  5. Jeremiah Stephin

    JamiiForums Tanzania Dunia haieleweki, maisha hayaeleweki

    Mkuu ulicho andikq hakina tofauti sana na nilicho maanisha mimi ha
  6. Jeremiah Stephin

    JamiiForums Tanzania Dunia haieleweki, maisha hayaeleweki

    1. Maisha ya kwenye Ndoto ukiwa umesinzia si halisi,ila utagundua si halisi pale utakapo zinduka kutoka usingizini.Ndoto ni Illusional..unadanganywa. 2. Video games kama zile za FIFA,GTA n.k wahusika wa kwenye zile games mfano unacheza PS5 kuna muda wachezaji wanalalamika,wanaumia,wanahuzunika...
  7. Jeremiah Stephin

    JamiiForums Tanzania Subaru Forester & Mitsubishi Outlander nichukue ipi?

    0755854402 niunge kaka
  8. Jeremiah Stephin

    JamiiForums Tanzania Sababu za mgogoro wa Israel na Iran

    Iran sio mnyonge marekani atemee upinzani wa kutosha coz hadi sasa sidhani kama anachokiona ndicho alichotarajia..Iran wana nguvu
  9. Jeremiah Stephin

    JamiiForums Tanzania Sababu za mgogoro wa Israel na Iran

    Mgogoro kati ya Iran na Israel ni wa muda mrefu na umechochewa na sababu kadhaa za kisiasa, kijeshi, kiitikadi na kijiografia. Hapa kuna sababu kuu zinazochochea mgogoro huu: 1. Tofauti za Kiitikadi na Kifalsafa Iran ni Jamhuri ya Kiislamu inayotawaliwa kwa msingi wa Uislamu wa Kishia (Shia...
  10. Jeremiah Stephin

    JamiiForums Tanzania Utofauti wa akili na elimu

    Akili Akili ni uwezo wa mtu wa kufikiri, kuchambua mambo, kuelewa, na kutatua matatizo kwa njia ya asili (yaani, bila kujifunza rasmi). Akili hutokana na kipaji cha kimaumbile; mtu huzaliwa nacho au hujifunza kwa uzoefu wa maisha. Mfano: Mtu anaweza kuwa hajawahi kwenda shule lakini anaweza...
  11. Jeremiah Stephin

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Mlimba Dc aje Ifakara Tc
  12. Jeremiah Stephin

    JamiiForums Tanzania ANUNNAKI: Nadharia za Mungu, miungu, fumbo la sciencenscience na Teknolojia kubwa katika Dunia ya kale, kuanguka Kwa civilization na kuinuka Tena

    Habari mkuu,samahani Naomba namba yako ya simu nikupigie nikuulize baadhi ya maswali ambayo naona nikiuliza kwa maandishi nawesa nisieleweke..maswali Kama 1.baada ya annunaki kumtengeneza binadamu ilikuaje wakamuwekea kifo? 2.Umesema Eden ilikua maabara ya majaribio je mtu wa ujuzi wa mema na...
  13. Jeremiah Stephin

    JamiiForums Tanzania Human Cloning (Kutengeneza kopi ya mtu/Binadamu)

    Duh
  14. Jeremiah Stephin

    JamiiForums Tanzania Human Cloning (Kutengeneza kopi ya mtu/Binadamu)

    Let me follow this
  15. Jeremiah Stephin

    JamiiForums Tanzania Binadamu anaishi Illusion life, siyo Maisha halisi

    Ndio Kama sisi yani
Back
Top Bottom