S.name ...Cocos nicifera.common name..Covonut..
Origin...Asia and far east...
Ziliwasili ufukwe WA Africa mashariki karine kazaa zilizopita...
Zilikuja kwa njia ya bahari..I. e zilielea kwa mdamrefu hadi zikafika ufukweni...zikapata mazingira yakuota.....nakusambaa maeneo mbalimbali...
Makonda...BASHITE..msameheni Bure. ..inaonekana hata open book paper anpata ZERO..anaquot bible alafu haijui..anataka kujihalalushia kwa maandiko FEKI.?
Uko vyema sana..hiyo nyumba 5rooms +sebule dining....Kwanza 15×14m..bati Zaid yards 100....inategemea na STAIL ya upauwaji...tofali 3500_4000... Ina zaidi ya 40milion...
Cha msingi sio kukompea nyumba hiiyo na za mbezi kijichi....just BID YOUR INTENTION TO BUY...THEN MTABAGEIN HUKO..
CCeM walikuwa kamati ya maandalizi..haijafanikiwa ..mission impossible. ..WATAENDAJE KUMSALIMU WAKATI WANAMSUBIRIA KUMMALIZIA AIR PORT. ? nasubiria kuona sniper wakifanya yao sikuhiyo yards ujio mkubwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.