Shime Wabunge wenzangu wa CCM twendeni tukamuone Mbunge mwenzetu Tundu Lissu Nairobi Tutamuogopa Mwenyekiti mpaka Lini?

Habari za Weekend!

Naumia sana moyoni mwangu kutokana na sisi Wabunge wa Chama cha Mapinduzi kukaa kimya kabisa kama hakuna kilichotokea hapa juzi juzi baada ya Mbunge mwenzetu mtanzania mwenzetu Tundu Lissu kupigwa risasi hapa mjini Dodoma.
Zaidi ya Lazaro Nyalandu siidhani kuna hata mmoja wetu aliyejitoa kumtembelea mwenzetu ingawa tumekatwa posho zetu kwa ajili ya mchango. Jamani kuna leo na kesho twendeni tukamuone mwenzetu hospitali.Mwenyekiti atapita na maisha yataendelea.

Ni mimi Mh.Mbunge wa Chama cha Mapinduzi.
Wewe mwenyewe umeficha jina lako nadhani wewe bavicha uchwara
 
Habari za Weekend!

Naumia sana moyoni mwangu kutokana na sisi Wabunge wa Chama cha Mapinduzi kukaa kimya kabisa kama hakuna kilichotokea hapa juzi juzi baada ya Mbunge mwenzetu mtanzania mwenzetu Tundu Lissu kupigwa risasi hapa mjini Dodoma.
Zaidi ya Lazaro Nyalandu siidhani kuna hata mmoja wetu aliyejitoa kumtembelea mwenzetu ingawa tumekatwa posho zetu kwa ajili ya mchango. Jamani kuna leo na kesho twendeni tukamuone mwenzetu hospitali.Mwenyekiti atapita na maisha yataendelea.

Ni mimi Mh.Mbunge wa Chama cha Mapinduzi.
Na mimi ni Mh. Mbunge wa Chama cha Mapinduzi nakuambia hivi kama unataka kwenda kumuona Lisu wewe nenda tu. Sasa unatuhimiza sisi wengine kwani hatuwezi kujiamulia wenyewe?
 
Habari za Weekend!

Naumia sana moyoni mwangu kutokana na sisi Wabunge wa Chama cha Mapinduzi kukaa kimya kabisa kama hakuna kilichotokea hapa juzi juzi baada ya Mbunge mwenzetu mtanzania mwenzetu Tundu Lissu kupigwa risasi hapa mjini Dodoma.
Zaidi ya Lazaro Nyalandu siidhani kuna hata mmoja wetu aliyejitoa kumtembelea mwenzetu ingawa tumekatwa posho zetu kwa ajili ya mchango. Jamani kuna leo na kesho twendeni tukamuone mwenzetu hospitali.Mwenyekiti atapita na maisha yataendelea.

Ni mimi Mh.Mbunge wa Chama cha Mapinduzi.
Unajificha na ID, unaogopa nini kua verified user? Kua kama Nyalandu bhana
 
Habari za Weekend!

Naumia sana moyoni mwangu kutokana na sisi Wabunge wa Chama cha Mapinduzi kukaa kimya kabisa kama hakuna kilichotokea hapa juzi juzi baada ya Mbunge mwenzetu mtanzania mwenzetu Tundu Lissu kupigwa risasi hapa mjini Dodoma.
Zaidi ya Lazaro Nyalandu siidhani kuna hata mmoja wetu aliyejitoa kumtembelea mwenzetu ingawa tumekatwa posho zetu kwa ajili ya mchango. Jamani kuna leo na kesho twendeni tukamuone mwenzetu hospitali.Mwenyekiti atapita na maisha yataendelea.

Ni mimi Mh.Mbunge wa Chama cha Mapinduzi.

Ni lini mara ya mwisho ulimwambia Babako ,,baba nakupenda" ? Anzia hapo kwanza, Tundu Lisu atakuwa poa tu lkn Babako atafarijika zaidi!
 
CCeM walikuwa kamati ya maandalizi..haijafanikiwa ..mission impossible. ..WATAENDAJE KUMSALIMU WAKATI WANAMSUBIRIA KUMMALIZIA AIR PORT. ? nasubiria kuona sniper wakifanya yao sikuhiyo yards ujio mkubwa
 
NCHI ILIPOFIKIA NI PA KILOFA KABISA. WABUNGE HAWAJULIAN HALI KISA UCHAMA? INAKOENDA KUTAKUWA NA MADUKA YA CCM NA YA UPINZANI
Hakika tunapoelekea mwanaccm na mwana upinzani hawatosalimiana. ni hatari sana kwa ustawi wa nchi. Tuendelee kuomba Tanzania isifike huko
 
Nyalandu ni fisadi aliwagawia marafiki zake wazungu vitalu vya uwindaji wanyama bure kabisa

Amebanwa mbavu ameanza kujiosha...dawa ni kumsukumizia huko huko...ili badae apate totalpunishment bila huruma za chama...yaan unapambna nae as a full enemy...na wenzie akna bashe, nape nk..sukumizia wote huko huko....unaogopaje wakat wew ndo una makali ya upanga
 
Hivi hawa ccm ni binadamu au picha?sijawahi Kuna watu wazima wanaendeshwa akili zao kama robot. Yaan unashindwa kwenda kumsalimia mgonjwa eti mkulu atamchukia.iko siku mkulu atawaambia anataka papuchi/tigo awagonge wote
 
Back
Top Bottom