Jenerali Ulimwengu: Hakuna sheria inayozuia mikutano ya kisiasa. Askari waanze kulipa fidia kwa hasara wanazosababisha

Ulimwengu hayupo sahihi kusema kuwa hakuna sheria inayozuia aina fulani ya mihadhara au mikutano ya siasa.

Tanzania inayo sheria ya UCHAGUZI inayoeleza ni wakati gani wa kufanya kampeni za kichama za uchaguzi. Hii mihadhara yenye maudhui ya kampeni za kisiasa katika kuwania nafasi za uongozi inakatazwa isipokuwa katika kipindi mahsusi cha kampeni za uchaguzi.

Hakuna kiongozi wa kisiasa aliezuiliwa kufanya mikutano kwenye jimbo lake. Infact wengi huita press conferences au huandika kwenye mitandao ya kijamii na maudhui yake yanawalenga Watanzania wote.

Lakini kuhamasisha wananchi nchi nzima (mfano, UKUTA) kuwataka wampinge Rais (dikteta uchwara) ni aina ya kampeni za kisiasa, na kwa bahati mbaya sheria iko wazi ni kipindi gani wanaweza kufanya hivyo.
 
Katiba kwa sasa hivi inategemea mtu kaota nini kitandani kwake na kaamka na kisirani gani nyumbani kwake...naam, cha kwanza atakalotamka ndio sheria. Ole wenu aamke vibaya halafu mizimu ipande, wasiojulikana watatembeza risasi kama wehu vile!

Taifa likishaamua kutofuata Katiba kwa sababu yoyote ile, maisha ya mwananchi wa kawaida yanawekwa rehani. Ole wenu vyombo vya dola viwe mikononi mwa viongozi waliosukumiziwa tu madaraka bila kuwa na sifa kuu tatu; uwezo, busara na hekima.
 
hawa wazee sasa wametuchosha sasa hivi kila mstaafu ni mwanaharakati.
huyu aliwahi kuhojiwa uraia wake na serikali ya awamu ya tatu.

Akiwa na kina marehemu John rutayisingwa,Marehemu Muhingo rweyemamu,Johnson bwire na wengineo ndio waliokuwa wakimiliki Habari corporation ambayo ilikuwa ikichapisha magazeti ya RAI,MTANZANIA,MWANASPOTI na mengineyo.
haya yalizoeleka na yalikubalika sana kwa wakati ule..
lakini katika hali ya kushangaza yaliuzwa kwa Rostam aziz(gwiji wa mtandao uliokuwa nyuma ya Lowassa na kikwete)hii ilikuwa ni muda mfupi kabla ya harakati za kampeni na hatimae uchaguzi uliomweka kikwete madarakani,huku waziri mkuu akiwa ni Lowassa.
Baada ya hapo j-ulimwengu akaibuka na RAIA MWEMA gazeti ambalo lipo mpaka sasa.
na ikumbukwe huko nyuma j-ulimwengu aliwahi kuwa kada mzuri wa ccm enzi za mwalimu na cheo cha mwisho alikuwa DC wa wilaya fulani ndani ya Dar es salaam.

Lakini pia ikumbukwe pia baada ya Rostam kutimkia huko ughaibuni inaaminika vyombo vyake vya habari alivyokuwa akivimiliki viko chini ya Lowassa kwa sasa.
na tukiangalia mtiririko wa baadhi ya vyombo vya habari kwa sasa vinaripoti kama vile kuna hiden agenda dhidi ya serikali na serikali inapochukua hatua kudhibiti hali hiyo,basi utasikia wanaharakati wanaporomoka kutoka kusikojulikana na kutoa mapovu ya kutosha ili tu kuwaridhisha wafadhili wanaowapa fedha za uendeshaji taasisi zao.

Je ulimwengu naye yuko upande upi?

UANDISHI?;UANAHARAKATI?
au UANASIASA?
 
Un
Ulimwengu hayupo sahihi kusema kuwa hakuna sheria inayozuia aina fulani ya mihadhara au mikutano ya siasa.

Tanzania inayo sheria ya UCHAGUZI inayoeleza ni wakati gani wa kufanya kampeni za kichama za uchaguzi. Hii mihadhara yenye maudhui ya kampeni za kisiasa katika kuwania nafasi za uongozi inakatazwa isipokuwa katika kipindi mahsusi cha kampeni za uchaguzi.

Hakuna kiongozi wa kisiasa aliezuiliwa kufanya mikutano kwenye jimbo lake. Infact wengi huita press conference au huandika kwenye mitandao ya kijamii na maudhui yake yanawalenga Watanzania wote.

Lakini kuhamasisha wananchi nchi nzima (mfano, UKUTA) kuwataka wampinge Rais (dikteta uchwara) ni aina ya kampeni za kisiasa, na kwa bahati mbaya sheria iko wazi ni kipindi gani wanaweza kufanya hivyo.
Unaelewa maana ya kampeni na mikutano ya kisiasa?
 
Kwanza lini amekua raia halali wa Jamuhuri ya Muungano?
Raia Mwema inalipa kodi ipasavyo kweli?
Michango yote ya social securities amelipa kwa wakati?
Yeye mwenyewe analipa kodi ipasavyo kutokana na kazi zake za uwakili?

Haya asije tu akaomba poo mwenyewe
 
Ulimwengu hayupo sahihi kusema kuwa hakuna sheria inayozuia aina fulani ya mihadhara au mikutano ya siasa.

Tanzania inayo sheria ya UCHAGUZI inayoeleza ni wakati gani wa kufanya kampeni za kichama za uchaguzi. Hii mihadhara yenye maudhui ya kampeni za kisiasa katika kuwania nafasi za uongozi inakatazwa isipokuwa katika kipindi mahsusi cha kampeni za uchaguzi.

Hakuna kiongozi wa kisiasa aliezuiliwa kufanya mikutano kwenye jimbo lake. Infact wengi huita press conferences au huandika kwenye mitandao ya kijamii na maudhui yake yanawalenga Watanzania wote.

Lakini kuhamasisha wananchi nchi nzima (mfano, UKUTA) kuwataka wampinge Rais (dikteta uchwara) ni aina ya kampeni za kisiasa, na kwa bahati mbaya sheria iko wazi ni kipindi gani wanaweza kufanya hivyo.
chama cha siasa chochote kina main Objective take. .. KUFANYA SIASA...sio kampein...kushawishi sera..kutoa takwimu zake kinafanya nn..kimefanyann
 
Ulimwengu hayupo sahihi kusema kuwa hakuna sheria inayozuia aina fulani ya mihadhara au mikutano ya siasa.

Tanzania inayo sheria ya UCHAGUZI inayoeleza ni wakati gani wa kufanya kampeni za kichama za uchaguzi. Hii mihadhara yenye maudhui ya kampeni za kisiasa katika kuwania nafasi za uongozi inakatazwa isipokuwa katika kipindi mahsusi cha kampeni za uchaguzi.

Hakuna kiongozi wa kisiasa aliezuiliwa kufanya mikutano kwenye jimbo lake. Infact wengi huita press conferences au huandika kwenye mitandao ya kijamii na maudhui yake yanawalenga Watanzania wote.

Lakini kuhamasisha wananchi nchi nzima (mfano, UKUTA) kuwataka wampinge Rais (dikteta uchwara) ni aina ya kampeni za kisiasa, na kwa bahati mbaya sheria iko wazi ni kipindi gani wanaweza kufanya hivyo.
Ajabu ya hiyo sheria unayoisema, inazuia vyama fulani tu.
 
Jenerali alifanya kampeni ya hovyo sana kipindi cha uchaguzi 2015, alimpamba Pombe sana na kumdhalilisha Lowasa!! Hivyo anachosema sasa ni muendelezo wa unafiki wake,
 
Back
Top Bottom