Recent content by Jenseny

  1. Jenseny

    JamiiForums Tanzania Wazo la uwekezaji

    Haina haja hiyo biashara inafanywa kwa miaka mingi wanamwaga baharini na Kuna visima vya serikalin unlipiaukimwaga u hafu kma unataka kata leseni nunua tu mgari ya kunyonya uchfu seh za kumwaga zipo
  2. Jenseny

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Beitar Jerusalem Gabio Sunderland Karagumruk Alkhalidiya Wigan tafuta hizo team mechi zinaanza saa 11
  3. Jenseny

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wazee Boko Holi happy angalieni hizi time 4 ods zaidi ya 40 Macathur Manchester city under23 Nottingham under23 Vfl Wolfsburg women
  4. Jenseny

    JamiiForums Tanzania Nina mpango wa kumfungulia kesi aliyekuwa kaka mkuu shule ya msingi kipindi nasoma shule

    Hayo yote yanaletwa na kukosa ajira mngekua na shughuli za kufanya Wala msingewaza kulipiza visasi
  5. Jenseny

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kuwashwa mwilini baada ya kuoga: Fahamu chanzo, ushauri na tiba

    Kuna dawa naijua unachemsha unaogea unajifukiza Kama unataka nipigie au njoo dm nkupe namba
  6. Jenseny

    JamiiForums Tanzania Sumbawanga acheni uchawi

    Hasubuhi?
  7. Jenseny

    JamiiForums Tanzania The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Matokeo yakoje!? Game ya tar 16 mtashinda kweli?
  8. Jenseny

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa maduka ya uwakala wa mabenki na chuma ulete

    Tumia mfupa was nguruwe uweke unapoweka hela
  9. Jenseny

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamaa yangu ananuka mdomo sana. Nitumie njia gani kumfikishia ujumbe?

    Bora aloteze amani kwko kuliko awanyime amani watu wengi
  10. Jenseny

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamaa yangu ananuka mdomo sana. Nitumie njia gani kumfikishia ujumbe?

    Nunua hydrogen peroxide au nenda duka la dawa waambie unataka dawa kwa ajili ya mtu anayenuka mdomo inauzwa 1500 mpe mwambie sukutua na hii Karla hunapiga mswaki mdomo una harufu mbaya me mke want Kuna kipindi ilitokea hivyo nkamnunulia dawa na nikamchana alifurahi hakumind
  11. Jenseny

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Niende jeshi au niendelee na biashara zangu?

    Nenda jeshini au nope hiyo chance nna mdogo want ana degree ya ualimu kwa bios na chem itamfaa
  12. Jenseny

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hiv sportpesa.jackport ni technique gani tutumie tule bil moja
  13. Jenseny

    JamiiForums Tanzania Nauza eneo langu Chekerei highway ya Mombo Korogwe barabara kuu

    Kwamsisi Kuna uhusiano gani na post hi tuelimike ifikie kipindi Kama Kuna vitu hatuwezi nunua tisiwakatishe tamaa wengine kununua
  14. Jenseny

    JamiiForums Tanzania Nauza eneo langu Chekerei highway ya Mombo Korogwe barabara kuu

    Nlipanunua 2017 mill 17 taget zangu ilikuq ni kujenga petrol station mambo yamekua magumu so naona nkiuze tu
Back
Top Bottom