The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Felipe alitaka kumuua mtu, alitaka mchezeshea kichapo Phil foden
Walishindwa kucheza mpira wakaanza kucheza ngumu atletico....foden ni bonge la player Felipe kaonekana kilaza tu ,that is football lakin majitu makubwa ni kucheza rafuu tupu
 
dah! Felipe kamfata Foden amburuze kama alivyo buluzwa gadafi
 
.
mancityworld-20220414-0001.jpg
 
Back
Top Bottom