Tatizo la kuwashwa mwilini baada ya kuoga: Fahamu chanzo, ushauri na tiba

Sema wabongo tuna ka uchawi flani cha asili,,,yaaani mtu anakazania kabisa eti anashukuru Mungu hayuko mwenyewe,jins unavyoteseka ukiona na mwenzio anateseka ndio unafurah.?
Sijashukuru kwa kufurah ndugu bali nmejiona co mtengwa wa tatizo hilo
 
Jerv
Mimi ni medical student na pia ni muathirika was tatizo hilo. Nilianzwa na tatizo hilo nikiwa kidato cha kwanza mwaka 2005 na ilikua sababu kubwa ilionipelekea kupata hamu ya kusoma udaktari kwan nilihangaika vya kutosha.

Tatizo hilo linaitwa urticaria linaweza kua acute or chronic na linasababishwa na uzalishwaji wa chemically iitwayo histamine kwa wingi ambayo pia husababishwa na pressure, coldness, n.k Tiba sahihi ya matatizo haya ya allergy inapatikana kwenye clinic za magonjwa ya ngozi yan dermatology department ambako kuna madaktari bigwa yan specialists kwa ajili ya ngozi tu hawa ndio wanaweza kukupa tiba sahihi.

Kwa DSM tembelea hospital ya muhimbili jengo la wagonjwa was nje (new OPD). kanda ya kaskazini tembelea hospitali ya KCMC kitengo cha dermatology.
Jee wewe umepona tayarii
 
Kuna dawa naijua unachemsha unaogea unajifukiza Kama unataka nipigie au njoo dm nkupe namba
 
Back
Top Bottom