Recent content by jense

  1. J

    JamiiForums Tanzania Wenye magari: Mnaibiwa sana kwenye petrol station

    Oilcom zote ni wezi. Ukipaki gari kuweka mafuta wanakuvamia wafanyakazi kama wawili watatu hivi. Wakati huyu anakuongelesha mwingine anaweka mafuta pungufu ya hela uliyomtajia. Kuwa makini nao. Nimetest sheli zao kama nane hapa dar. Wote wanafanya hivyo. Chukua au acha huo ndo ukweli.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta Shamba la kulima mihogo mkuranga

    Weka hapa namba ya simu tukupigie
  3. J

    JamiiForums Tanzania Somo kubwa kwa Zitto;NEVER OUTSHINE UA MASTER

    Watu aina ya Zito ni wa kuogopa kama ukoma. Eti "Chadema kimenilea". So what??? Ingekuwa bora kama angesema "Chadema nimekilea".
  4. J

    JamiiForums Tanzania Taarifa za Zitto na Dr. Kitila kwa Umma Juu ya Kuvuliwa Nafasi za Uongozi ndani ya CHADEMA

    Pinda ni mzigo kwa taifa.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Wassira apigilia msumari wa moto kauli ya Pinda, asema hakuna sheria iliyovunjwa.

    naomba cv ya wassira jamani.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Wassira apigilia msumari wa moto kauli ya Pinda, asema hakuna sheria iliyovunjwa.

    "wassira apigilia msumari". this is a very poor terminology. hivi wassira ni nani? wassira ni mdogo kwa pinda hivyo hawezi kupigilia msumari. kufanya hivyo ni insubordination. ingeeleweka kama ungesema kikwete apigilia msumari. hata hivyo sishangai wassira kusema hivyo maana ni mtaalamu wa...
  7. J

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Rais Kikwete awajibu wanaoponda safari za nje ya nchi

    Anafikiri kwa kutumia makario. Dr. Masaburi.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba aumbuliwa na Waziri Nahodha Bungeni leo

    Chadema yatosha!!!
  9. J

    JamiiForums Tanzania MBUNGE asiye na Chama akifa au kuacha/kuachishwa Ubunge.

    Watanzania walio wengi wanaendekeza mapenzi badala ya kazi. Nijuavyo mimi kama ishue ya wabunge wawiliwawili kwa kila jimbo itapitishwa i.e. male and female litakuwa bunge la mke na mume. Yale yale ya ngoswe!!
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mwigulu mnchemba anampango wa kuja arusha

    anakuja kukusanya ushaidi wa duniani na mbiguni. Big up Ku-nguru wa kwenye chemba.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Nilikuwa safari kikazi kwa siku 12, nimerejea

    Mwigulu ebu kaa chini na usome historia ya watu kama Gadaffi, Osama, Jonas Savimbi and more of the like pengine unaweza ukajifunza kitu. Kikubwa zaidi jua kwamba Mungu yupo na anafanya kazi na wala hasikwong'opee mtu MALIPO NI HAPA HAPA DUNIANI. CCM umeikuta na bado ipo lakini kuendelea kuwepo...
  12. J

    JamiiForums Tanzania TLP Tumejipanga kuchukua nchi 2015.

    Labda sijakuelewa. Kuichukua nchi ndo kufanyaje? na wataichukua nchi gani? kutoka wapi kwenda wapi? Umenifanya nikumbuke maneno ya masaburi dhidi ya wabunge wa ccm wa dar alipowambia wanafikiri kwa kutumia makario.
  13. J

    JamiiForums Tanzania CCM: Kiti cha Spika kimeinyima nafasi CCM!

    huyo mzee aliporwa bunduki mbili, blackberry 4, laptop 2, dollar laki 3 na c.h.u.p.i 2 za kike.
Back
Top Bottom