MALEBO
Member
- Oct 5, 2012
- 64
- 14
Binafsi namkubali sana Zitto kwa usomi alikuwa nao hasa ule wa kujisomea vitabu na kufatilia mambo ya dunia kwa ukaribu pamoja na uwezo wa kuchambua mambo.
Kitu bwana Zitto alichoshindwa kujifunza ni jinsi ya ku execute ideas na malengo aliyonayo kwa Nchi au ndani ya Chama.
Laiti Kama Zitto angejifunza uvumilivu katika ku execute mambo yake angeweza fika mbali sana.
Sote tunajua au tushasikia kuhusu Rais Kikwete kuwa katika kura za maoni za kugombea urais mwaka 1995 alishinda ila akaambiwa asubiri kwanza na kumwachia Mkapa,laiti Kama Kikwete angekuwa Kama Zitto Leo hii asingekuwa Rais wa Tanzania,kwani sio tu kwamba alikubali,Bali aliendelea kushirikiana na chama na bila kupingana nacho mpaka muda wake ukafika,uvumilivu ni suala la msingi sana katika kila kitu,usipokuwa mvumilivu hautafika popote hata uwe na akili kiasi gani.
Ukitaka kupanda ngazi za juu za uongozi lazima uanze kwa kuonesha obedience kwa walio juu yako,otherwise hautapanda kamwe na mwisho wake kukosa nafasi ya kufanikisha mipango yako.
Katika kitabu chake kiitwacho 48 laws of power,Robert Green kaanza na law namba moja;NEVER OUTSHINE UA MASTER, hili ni Somo ambalo Zitto Kabwe anatakiwa kujifunza sasa,hautaweza kuja fika juu kwa njia yoyote ile Kama utataka kuonekana kuwa wewe ni bora ya walio juu yako,naamini bwana Kabwe ni mpigania haki za walala hoi,lakini bila kutumia mbinu madhubuti za kuhakikisha unakuwa na team inayokuamini na kukupa support,sidhani Kama utaweza kufanya lolote kwa njia yoyote ile.