MBUNGE asiye na Chama akifa au kuacha/kuachishwa Ubunge.

Sikonge

Sikonge

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2008
Messages
11,549
Likes
675
Points
280
Sikonge

Sikonge

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2008
11,549 675 280
Mods, tafadhali iachane hii walau hadi itakapopata jibu la uhakika na ndipo muichanganye na nyingine.....

Wajuvi wa Sheria,

Mie swali langu ni fupi sana. Tumesoma kuwa kama Mbunge akifariki au kujiondoa, basi CHAMA kilichoshinda ubunge kwa jimbo hilo, kitatoa mtu wa PILI aliyekuwa kwenye list. Jambo hili mie ninaona lina ulakini fulani.

Kama kweli huko tuendako kutakuwa na Wagombea wasio na vyama, sasa huyo asiye na chama ikitokea ameacha kuwa Mbunge kwa sababu yoyote ile, nani atarithishwa Ubunge wake?

Mie nafikiri Eliminations kwenye vyama ife na waache walau kila chama kiwe na Wagombea walau tuseme wanne na hao wote wapigiwe kura ukichanganya na wale wasio na vyama. Atakayepata kura nyingi katika hao ndiyo mshindi na ikitokea Mbunge au Diwani kaacha kuwa Mbunge au Diwani basi wanachukua mtu aliyekuwa wa pili kwenye LISTI nzima bila kuangalia ametoka chama gani.

Sijui kama nayo itakuwa njia nzuri sana ila walau itasaidia kama kweli tunataka kuokowa hela za walipa kodi. Uchaguzi ujao kama hii hali itaruhusiwa, wanaweza kutokea wagombea wengi sana wasiofungamana na chama chochote na hao mwisho wa siku wakawa wanaleta uchaguzi wa mara kwa mara.
 
dudus

dudus

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Messages
9,723
Likes
10,151
Points
280
dudus

dudus

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2011
9,723 10,151 280
Hata mimi hapo pananishangaza. Labda asiye na chama (binafsi) akikoma kuwa mbunge inapasa pia arithiwe na mgombea wa aina yake yaani binafsi. Nadhani sheria itaweka utaratibu mzuri wa ku-implement hili!

Kuhusu mbunge kurithiwa na chama chake kidogo inanipa pia tabu! Hivi kwenye uchaguzi tunachagua chama au mtu? Nadhani ni mtu na ndio maana hata rasimu ya katiba mpya inapendekeza mgombea binafsi. Kama ndivyo, kwa nini suala la urithi liwe la kichama badala ya mtu?

Inaweza kuzuka hoja ya kishabiki hapa eti ni kutokana na gharama. Hivi ni lipi lina gharama zaidi kati ya kuwa na wabunge wawili wawili (mke/mume) kwenye kila jimbo na kurudia uchaguzi kidemokrasia kwenye majimbo machache yatakayoondokewa na wabunge wake? Hainiingii akili hata kidogo.

Halafu kwa huu utaratibu wa wabunge mke/mume walahi tusishangae majimbo mengi kuchukuliwa na bibi na bwana namaanisha mke/mume wa ndoa hasa; na waTz tunavyohadaika na propaganda, hilo ni obvious. Akisimama mtema pumba fulani kwenye kampeni "atahamasisha" hivi:

"Ndugu wananchi, chama chetu safari hii tumeamua kumsimamsiha John na mkewe ili wakafanye mambo mazuri huko Bungeni kama wanavyofanya wakiwa chumbani kwao; angalieni hata familia yao" na kwa upumbavu wetu na ukosefu wa elimu ya uraia bibi na bwana watapita kwa kishindo - 90%! Hii ndio Bongo bwana; wajinga kibao.
 
VUTA-NKUVUTE

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
5,988
Likes
7,898
Points
280
VUTA-NKUVUTE

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
5,988 7,898 280
Kisheria,panapokuwa na ukimya wa sheria,mazoea hutumika.Hivyobasi,uchaguzi utafanyika kujaza nafasi. Nadhani mmenielewa Wakuu Sikonge na dudus
 
Sangarara

Sangarara

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Messages
13,115
Likes
650
Points
280
Sangarara

Sangarara

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2011
13,115 650 280
NO. Tunataka viongozi walioshinda uchaguzi, hakuna mambo ya mshindi wa pili, tuko tayari kulipia.
 
Sikonge

Sikonge

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2008
Messages
11,549
Likes
675
Points
280
Sikonge

Sikonge

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2008
11,549 675 280
Mkuu, unaweza kuwa sawa kabisa.

Ila hii ya mazoea ndiyo itakuja kupelekea Rais anasema "Mwanangu Fulani ndiyo atakuwa Mbunge wa hilo jimbo" na kwa sababu tuna mazoea ya Rais kuteuwa, itabidi tukubali.

Ni heri kila kitu kiandikwe na kiwe wazi ili kupisha utata huko mbele ya safari.
Kisheria,panapokuwa na ukimya wa sharia,mazoea hutumika.Hivyobasi,uchaguzi utafanyika kujaza nafasi. Nadhani mmenielewa Wakuu Sikonge na dudus
 
Sangarara

Sangarara

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Messages
13,115
Likes
650
Points
280
Sangarara

Sangarara

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2011
13,115 650 280
Hawa wakina waryoba wametengeneza hii rasimu katika namna itakayowapa fursa nyingine kukaa na kula pesa, siwezi kuamini hata kidogo kwamba Profesa Baregu ameacha mianya ya ajabu ajabu namna hii iwasilishwe kwa wananchi. Nadhani haelewi ni namna gani anakiexpose chama chake.
 
VUTA-NKUVUTE

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
5,988
Likes
7,898
Points
280
VUTA-NKUVUTE

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
5,988 7,898 280
Mkuu, unaweza kuwa sawa kabisa.

Ila hii ya mazoea ndiyo itakuja kupelekea Rais anasema "Mwanangu Fulani ndiyo atakuwa Mbunge wa hilo jimbo" na kwa sababu tuna mazoea ya Rais kuteuwa, itabidi tukubali.

Ni heri kila kitu kiandikwe na kiwe wazi ili kupisha utata huko mbele ya safari.
Sawia Mkuu Sikonge.Nilizungumzia na kubeba picha pana ya pale ambapo Katiba imeshapitishwa rasmi na bado ipo ilivyo sasa kwenye Rasimu. Hatahivyo,kuna haja ya kufanyia marekebisho Ibara hii ili kuondoa ukakasi unaoweza kujitokeza. Prevention is better than cure!
 
Last edited by a moderator:
Kiriba

Kiriba

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2013
Messages
534
Likes
111
Points
60
Kiriba

Kiriba

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2013
534 111 60
Bwana sikonge, kasome vizuri hiyo rasimu. Imeeleza vizuri tu kuwa kama ni mbunge ambae alikuwa mgombea binafsi basi "kutakuwa na uchaguzi mdogo".
 
J

jense

Member
Joined
Dec 21, 2012
Messages
18
Likes
1
Points
5
J

jense

Member
Joined Dec 21, 2012
18 1 5
Hata mimi hapo pananishangaza. Labda asiye na chama (binafsi) akikoma kuwa mbunge inapasa pia arithiwe na mgombea wa aina yake yaani binafsi. Nadhani sheria itaweka utaratibu mzuri wa ku-implement hili!

Kuhusu mbunge kurithiwa na chama chake kidogo inanipa pia tabu! Hivi kwenye uchaguzi tunachagua chama au mtu? Nadhani ni mtu na ndio maana hata rasimu ya katiba mpya inapendekeza mgombea binafsi. Kama ndivyo, kwa nini suala la urithi liwe la kichama badala ya mtu?

Inaweza kuzuka hoja ya kishabiki hapa eti ni kutokana na gharama. Hivi ni lipi lina gharama zaidi kati ya kuwa na wabunge wawili wawili (mke/mume) kwenye kila jimbo na kurudia uchaguzi kidemokrasia kwenye majimbo machache yatakayoondokewa na wabunge wake? Hainiingii akili hata kidogo.

Halafu kwa huu utaratibu wa wabunge mke/mume walahi tusishangae majimbo mengi kuchukuliwa na bibi na bwana namaanisha mke/mume wa ndoa hasa; na waTz tunavyohadaika na propaganda, hilo ni obvious. Akisimama mtemapumba fulani kwenye kampeni "atahamasisha" hivi:

"Ndugu wananchi, chama chetu safari hii tumeamua kumsimamsiha John na mkewe ili wakafanye mambo mazuri huko Bungeni kama wanavyofanya wakiwa chumbani kwao; angalieni hata familia yao" na kwa upumbavu wetu na ukosefu wa elimu ya uraia bibi na bwana watapita kwa kishindo - 90%! Hii ndio Bongo bwana; wajinga kibao.
Watanzania walio wengi wanaendekeza mapenzi badala ya kazi. Nijuavyo mimi kama ishue ya wabunge wawiliwawili kwa kila jimbo itapitishwa i.e. male and female litakuwa bunge la mke na mume. Yale yale ya ngoswe!!
 
Kiriba

Kiriba

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2013
Messages
534
Likes
111
Points
60
Kiriba

Kiriba

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2013
534 111 60
Mods, tafadhali iachane hii walau hadi itakapopata jibu la uhakika na ndipo muichanganye na nyingine.....

Wajuvi wa Sheria,

Mie swali langu ni fupi sana. Tumesoma kuwa kama Mbunge akifariki au kujiondoa, basi CHAMA kilichoshinda ubunge kwa jimbo hilo, kitatoa mtu wa PILI aliyekuwa kwenye list. Jambo hili mie ninaona lina ulakini fulani.

Kama kweli huko tuendako kutakuwa na Wagombea wasio na vyama, sasa huyo asiye na chama ikitokea ameacha kuwa Mbunge kwa sababu yoyote ile, nani atarithishwa Ubunge wake?

Mie nafikiri Eliminations kwenye vyama ife na waache walau kila chama kiwe na Wagombea walau tuseme wanne na hao wote wapigiwe kura ukichanganya na wale wasio na vyama. Atakayepata kura nyingi katika hao ndiyo mshindi na ikitokea Mbunge au Diwani kaacha kuwa Mbunge au Diwani basi wanachukua mtu aliyekuwa wa pili kwenye LISTI nzima bila kuangalia ametoka chama gani.

Sijui kama nayo itakuwa njia nzuri sana ila walau itasaidia kama kweli tunataka kuokowa hela za walipa kodi. Uchaguzi ujao kama hii hali itaruhusiwa, wanaweza kutokea wagombea wengi sana wasiofungamana na chama chochote na hao mwisho wa siku wakawa wanaleta uchaguzi wa mara kwa mara.
Bwana sikonge, kasome vizuri hiyo rasimu. Imeeleza vizuri tu kuwa kama ni mbunge ambae alikuwa mgombea binafsi basi kutakuwa na uchaguzi mdogo
 
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Messages
15,618
Likes
6,134
Points
280
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2009
15,618 6,134 280
Mods, tafadhali iachane hii walau hadi itakapopata jibu la uhakika na ndipo muichanganye na nyingine.....

Wajuvi wa Sheria,

Mie swali langu ni fupi sana. Tumesoma kuwa kama Mbunge akifariki au kujiondoa, basi CHAMA kilichoshinda ubunge kwa jimbo hilo, kitatoa mtu wa PILI aliyekuwa kwenye list. Jambo hili mie ninaona lina ulakini fulani.

Kama kweli huko tuendako kutakuwa na Wagombea wasio na vyama, sasa huyo asiye na chama ikitokea ameacha kuwa Mbunge kwa sababu yoyote ile, nani atarithishwa Ubunge wake?

Mie nafikiri Eliminations kwenye vyama ife na waache walau kila chama kiwe na Wagombea walau tuseme wanne na hao wote wapigiwe kura ukichanganya na wale wasio na vyama. Atakayepata kura nyingi katika hao ndiyo mshindi na ikitokea Mbunge au Diwani kaacha kuwa Mbunge au Diwani basi wanachukua mtu aliyekuwa wa pili kwenye LISTI nzima bila kuangalia ametoka chama gani.

Sijui kama nayo itakuwa njia nzuri sana ila walau itasaidia kama kweli tunataka kuokowa hela za walipa kodi. Uchaguzi ujao kama hii hali itaruhusiwa, wanaweza kutokea wagombea wengi sana wasiofungamana na chama chochote na hao mwisho wa siku wakawa wanaleta uchaguzi wa mara kwa mara.
rasimu haijaeleza juu ya hili?mkuu hapo umeonyesha kweli wewe ni great thinker!ila mbinu chafu za mauaji ya wabunge yataongezeka ili kuukwaa ubunge.Fikiri tuu kwa sasa hakuna utaratibu huo lakini CCM wanajitahidi Mh.Lissu atoke bungeni
 
Kipaji Halisi

Kipaji Halisi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2012
Messages
2,282
Likes
238
Points
160
Kipaji Halisi

Kipaji Halisi

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2012
2,282 238 160
hii imekaa kiutata zaidi..mie pia nimejiuliza ina maana kama kila chama kitakua na wagombea wawili yaani KE na ME..kama vyama viko viwili wagombea wanne hao...na mgombea binfasi je..naye watakua wawili..?KE na ME Sikonge.. dudus..
ni swali la nyongeza katika swali la msingi..
 
Last edited by a moderator:
Bubu Msemaovyo

Bubu Msemaovyo

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2007
Messages
3,435
Likes
63
Points
145
Bubu Msemaovyo

Bubu Msemaovyo

JF-Expert Member
Joined May 9, 2007
3,435 63 145

Ubunge wa kurithishana ni ubunge wa kuteuliwa tu. Lakini ubunge wa kuchaguliwa, mbunge akifa, kuachishwa ubunge au yeye mwenyewe kuacha kiti kinatangazwa wazi kwa kugombaniwa.
 
Takalani Sesame

Takalani Sesame

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2008
Messages
588
Likes
0
Points
33
Takalani Sesame

Takalani Sesame

JF-Expert Member
Joined Jun 24, 2008
588 0 33
As per hii rasimu kutakuwa na uchaguzi mdogo
 
L

leo.leo

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2013
Messages
393
Likes
70
Points
45
L

leo.leo

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2013
393 70 45
mtazamo wangu:billa kujali ni mbunge wa chama ama binafsi amefariki ama kajiuzulu ama amehama chama, ni muhimu wananchi kupewa nafasi nyingine ya kumchagua wamtakaye toka chama chochote ama kutoka mgombea binafsi ,hii ni haki ya kidemocrasia ,vinginevyo wanachi watakuwa hawajetendewa haki ya kupewa kiongozi ambaye si chaguo lao.
 
Sikonge

Sikonge

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2008
Messages
11,549
Likes
675
Points
280
Sikonge

Sikonge

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2008
11,549 675 280
Wakuu wote,

Nashukuru kwa wote mliochangia kwa usaha wa juu. Kwa wale walikuwa hawajasoma jibu hilo kama mimi hapa, basi ni kuwa jibu tayari lipo kama jumbe zinavyosomeka hapa chini. Pia Invisible kanitumia PM na kunijulisha kuwa jibu lipo na nawashukuru sana Tume hiyo kwa kuona mengi hata haya madogo madogo. Nimeamua niweke kwa maandishi Makubwa majibu ya Bubu Msemaovyo.

Ubunge wa kurithishana ni ubunge wa kuteuliwa tu. Lakini ubunge wa kuchaguliwa, mbunge akifa, kuachishwa ubunge au yeye mwenyewe kuacha kiti kinatangazwa wazi kwa kugombaniwa

Hata mimi hapo pananishangaza. Labda asiye na chama (binafsi) akikoma kuwa mbunge inapasa pia arithiwe na mgombea wa aina yake yaani binafsi. Nadhani sheria itaweka utaratibu mzuri wa ku-implement hili!

Kuhusu mbunge kurithiwa na chama chake kidogo inanipa pia tabu! Hivi kwenye uchaguzi tunachagua chama au mtu? Nadhani ni mtu na ndio maana hata rasimu ya katiba mpya inapendekeza mgombea binafsi. Kama ndivyo, kwa nini suala la urithi liwe la kichama badala ya mtu?

Inaweza kuzuka hoja ya kishabiki hapa eti ni kutokana na gharama. Hivi ni lipi lina gharama zaidi kati ya kuwa na wabunge wawili wawili (mke/mume) kwenye kila jimbo na kurudia uchaguzi kidemokrasia kwenye majimbo machache yatakayoondokewa na wabunge wake? Hainiingii akili hata kidogo.

Halafu kwa huu utaratibu wa wabunge mke/mume walahi tusishangae majimbo mengi kuchukuliwa na bibi na bwana namaanisha mke/mume wa ndoa hasa; na waTz tunavyohadaika na propaganda, hilo ni obvious. Akisimama mtema pumba fulani kwenye kampeni "atahamasisha" hivi:

"Ndugu wananchi, chama chetu safari hii tumeamua kumsimamsiha John na mkewe ili wakafanye mambo mazuri huko Bungeni kama wanavyofanya wakiwa chumbani kwao; angalieni hata familia yao" na kwa upumbavu wetu na ukosefu wa elimu ya uraia bibi na bwana watapita kwa kishindo - 90%! Hii ndio Bongo bwana; wajinga kibao.
atoke kwenye familia yake
Kisheria,panapokuwa na ukimya wa sheria,mazoea hutumika.Hivyobasi,uchaguzi utafanyika kujaza nafasi. Nadhani mmenielewa Wakuu Sikonge na dudus
NO. Tunataka viongozi walioshinda uchaguzi, hakuna mambo ya mshindi wa pili, tuko tayari kulipia.
Hawa wakina waryoba wametengeneza hii rasimu katika namna itakayowapa fursa nyingine kukaa na kula pesa, siwezi kuamini hata kidogo kwamba Profesa Baregu ameacha mianya ya ajabu ajabu namna hii iwasilishwe kwa wananchi. Nadhani haelewi ni namna gani anakiexpose chama chake.
Sawia Mkuu Sikonge.Nilizungumzia na kubeba picha pana ya pale ambapo Katiba imeshapitishwa rasmi na bado ipo ilivyo sasa kwenye Rasimu. Hatahivyo,kuna haja ya kufanyia marekebisho Ibara hii ili kuondoa ukakasi unaoweza kujitokeza. Prevention is better than cure!
Bwana sikonge, kasome vizuri hiyo rasimu. Imeeleza vizuri tu kuwa kama ni mbunge ambae alikuwa mgombea binafsi basi "kutakuwa na uchaguzi mdogo".
Watanzania walio wengi wanaendekeza mapenzi badala ya kazi. Nijuavyo mimi kama ishue ya wabunge wawiliwawili kwa kila jimbo itapitishwa i.e. male and female litakuwa bunge la mke na mume. Yale yale ya ngoswe!!
rasimu haijaeleza juu ya hili?mkuu hapo umeonyesha kweli wewe ni great thinker!ila mbinu chafu za mauaji ya wabunge yataongezeka ili kuukwaa ubunge.Fikiri tuu kwa sasa hakuna utaratibu huo lakini CCM wanajitahidi Mh.Lissu atoke bungeni
hii imekaa kiutata zaidi..mie pia nimejiuliza ina maana kama kila chama kitakua na wagombea wawili yaani KE na ME..kama vyama viko viwili wagombea wanne hao...na mgombea binfasi je..naye watakua wawili..?KE na ME Sikonge.. dudus..
ni swali la nyongeza katika swali la msingi..

Ubunge wa kurithishana ni ubunge wa kuteuliwa tu. Lakini ubunge wa kuchaguliwa, mbunge akifa, kuachishwa ubunge au yeye mwenyewe kuacha kiti kinatangazwa wazi kwa kugombaniwa.
As per hii rasimu kutakuwa na uchaguzi mdogo
 
Last edited by a moderator:
OSOKONI

OSOKONI

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2011
Messages
10,985
Likes
4,046
Points
280
OSOKONI

OSOKONI

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2011
10,985 4,046 280
atoke kwenye familia yake
Soma vizuri rasimu ukiwa umetulia ni kuwa uchaguzi mdogo utaitishwa tu pale mbunge ambaye alikuwa mgombea huru akipoteza sifa za kuwa mbunge ikiwepo kifo n.k ila wabunge watokanao na vyama wakipoteza ubunge mtu mwingine kutoka kwenye listi ya chama husika iliyowasilishwa kwenye tume ya uchaguzi atateuliwa kuziba nafasi hiyo bila uchaguzi mdogo!!
Kinachonitatiza mimi kwenye hili ni kuwa itakuwaje pale ubunge wa mbunge utakapotenguliwa na mahakama kwa kosa la rushwa au wizi wa kura ina maana chama hicho kitwaweka mtu mwingine kuwa mbunge bila uchaguzi??Hili haliwezi kuchochea rushwa, wizi wa kura na kuvuruga chaguzi huku vyama vikijua mtu wao akishashinda basi hata kama atatolewa na mahakama watateua mtu mwingine kuziba nafasi hiyo bila kurudi kwenye uchaguzi? hili limekaaje??
 
OSOKONI

OSOKONI

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2011
Messages
10,985
Likes
4,046
Points
280
OSOKONI

OSOKONI

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2011
10,985 4,046 280
hii imekaa kiutata zaidi..mie pia nimejiuliza ina maana kama kila chama kitakua na wagombea wawili yaani KE na ME..kama vyama viko viwili wagombea wanne hao...na mgombea binfasi je..naye watakua wawili..?KE na ME Sikonge.. dudus..
ni swali la nyongeza katika swali la msingi..
Mgombea huru kama ni mwanaume ataingizwa kwenye kundi la wagombea wanaume kutoka vyama na kama ni mwanamke ataingizwa kwenye kundi la wagombea wanawake kutoka vyama vilivosimamisha wagombea!
 
Bubu Msemaovyo

Bubu Msemaovyo

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2007
Messages
3,435
Likes
63
Points
145
Bubu Msemaovyo

Bubu Msemaovyo

JF-Expert Member
Joined May 9, 2007
3,435 63 145
Mkuu Sikonge nachukua fursa hii kukushukuru kwa kutambua uwepo wangu na kuthamini mchango wangu Namshukuru Mungu kabla ya Yote
 
Forum statistics

Threads 1,275,227
Members 490,947
Posts 30,536,187