Ninachokushauri ndg yangu,husipende kuingilia na kufuatilia sana,mambo ya mwanamke wako na mzazi mwenzake ww hayo hayakuhusu nakushangaa unapata tabu ya nini?,wewe hoa huyo mwanamke wako hata kama huyo mtoto atakuwa pamoja na mama yake,kiubinadamu unawajibika kulea pia huyo mtoto kwasababu huko...