Yaani hela wakope wengine tulipe wengine, ujinga huo.
Mimi nipo tayari kulipa na kuilipia familia yangu ila kwa sharti tu na mimi nisilipe kodi kwa miaka kadhaa...
![]()
Deni la Taifa limepanda na kufikia Shilingi Trilioni 40, hivyo kila Mtanzania anadaiwa shilingi laki nane na hamsini na sita (856,000/=).
Ukiambiwa uchangie kulipa deni la Taifa, upo tayari?
![]()
Deni la Taifa limepanda na kufikia Shilingi Trilioni 40, hivyo kila Mtanzania anadaiwa shilingi laki nane na hamsini na sita (856,000/=).
Ukiambiwa uchangie kulipa deni la Taifa, upo tayari?
hahahaha ucpo lipa kodi nchi itaongozwaje.?
Masikini mtanzania wewe, hujui kwamba hapo ulipokaa upo unalipa hili deni. Na usichojua zaidi ni kuwa waliotuingiza kwenye hili deni hawatakaa waonje machungu yake labda tufanye maamuzi magumu kama Watanzania kwa umoja wetu ndipo nao wataonja machungu ya hili deni!walipe wanaosafiri safiri km popo
Post namba #35 inakuhusu mkuu Root.Mbona mimi sijaona zimetuka vipi hizo hela.
Nidaiwe wakati sikwenda kopa.
Itafikia mahali watadai hata waliokufa
Masikini mtanzania wewe, hujui kwamba hapo ulipokaa upo unalipa hili deni. Na usichojua zaidi ni kuwa waliotuingiza kwenye hili deni hawatakaa waonje machungu yake labda tufanye maamuzi magumu kama Watanzania kwa umoja wetu ndipo nao wataonja machungu ya hili deni!
Hilo hata huwezi kuambiwa. Kwa taarifa yako mpaka sasa unalipa. Serikali itakukamua kupitia kodi za bidha kama mafuta na umeme. kwengine ni kama kwenye vinywaji na pembejeo za kilimo. Mpaka sasa tunalipa sema hawalipi deni badala yake wazipiga ndio maana deni linapanda. Umeshasahau mambo ya EPA, RAD, RICHMOND, ESCROW nk nk nk.....?!