Kwanini ni Wahaya, Wachaga na Wakurya tu?

Kwanini ni Wahaya, Wachaga na Wakurya tu?

huwez zungumzia biachara, elimu na pesa usimzungumzie mchaga.

huwez zungumzia maringo, dharau, elimu na sifa usimzungumzie muhaya.

huwez zungumzua fujo, mkwara, ujsiri na kwata usiwazungumzie wakurya.

so they make headline bro.

kuna makabila hayana mantiki kibiashara wala power kuweza kushawish watu kununua bidhaa husika.
mgogo- ombaomba
mrangi- wala mandaz na umbea tu
wapare-wabahili hawanunui bidhaa
wasukuma- washamba na ni ngumu kuelewa vitu.
waha- wananunua tu vifaa vya kupigia watu radi, washamba na weng hawajijali.
n.k
Du kwani mwenzetu kabila gani maana naona wachaga unawasahau kuwa hawaamini kama kabila zingine ni binadamu pia
 
Kwenye matangazo ya kibiashara, hutumika lafudhi za kihaya,kichaga na kikurya kwa kiasi kikubwa. Kwanini? Wenye uelewa wa jambo hili watufahamishe tusioelewa. Ndooroooooooooooooooooooobo!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

wanyakyusa wamo
 
Back
Top Bottom