Recent content by Jemedari81

  1. J

    Rais Magufuli acha kutembelea nchi masikini hazitakusaidia chochote

    Nadhani kuna haja ya kumuelewa mtoa Uzi, sidhani kama anapingana na ziara anazofanya Rais bali anachagiza kwamba asitembelee tu Afrika,aangalie na upande mwingine wa Dunia amabako yamkini kama ni kwa lengo la kupata wawekezaji basi huko watapatikana tena nakunywa zaidi, Hata hvyo niseme kwamba...
  2. J

    Forojo Ganze (Master), mchawi maarufu aliyeanzisha Mwenge wa Uhuru

    Hiii sto Hii story ni nzuri sana Ndugu, sasa kama unaweza ukatupia humu kwa mapana zaidi itapendeza
  3. J

    Makonda is almost so damn right!

    Bashite si chochote asiwepo mtu yeyote wa kumgwaya, ni kwamba wenye hekima na busara wameamua kutomnyooshea kidore.
  4. J

    Natamani kuwa PAKA

    Njoo PM nikupe namba zake[emoji9] Sent using Jamii Forums mobile app
  5. J

    Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

    Nisaidie kupata softcopy ya hiki ki tabu pliz. Inbox Sent using Jamii Forums mobile app
  6. J

    Nape Nnauye hatanii, tazama juu ya korosho

    Apokelewe kwa mawazo yake Chanya, amejitambua kwamba alikuwa nje ya mstari na anajutia kauli zake, kwakuwa amerudi akaribishwe kila binadamu hujikwaa na kujirudi Sent using Jamii Forums mobile app
  7. J

    Ingekuwa nchi nyingine hili tu la Wabunge lilitosha Kuwafumbua macho Wananchi. Ni jambo la Hatari kubwa sana.

    Inawezekana uko sahihi Ila usiangalie tu Lisu,je wajua speaker Ndungai iligharimu kaisi gani akiwa India? He wajua viongozi wengine kuanzia Rais, PM na wengine wa ngazi za juu wanagharamiwa kaisi gani? Nashauri hoja iwe inakuja kwa mapana yake badala ya kumzungumzia mtu mmoja. Kama tunaishauri...
  8. J

    Rais Magufuli awaita Wakuu wa Mikoa Dar

    Anipe Mimi hyo Kazi, yaani RC anashindwa kuwa na mkakati wa kugawa ID. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. J

    Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu apata wafuasi Mil.90 duniani

    Safari bado ndefu sana Sent using Jamii Forums mobile app
  10. J

    TANZIA: Mama mzazi wa Mh. Mrisho Gambo amefariki dunia akiwa India kwa matibabu

    Pole Sana Chief. Mungu amlaze Mama yetu mahala pema peponi
  11. J

    Natamani kupenda tena

    Nitahamia Dar, tutakutana.
  12. J

    Uchambuzi: Kama Urais Ungekuwa Wa Miaka Miwili..

    Busara na hekima ni kitu cha kipekee sana, katika unadishi wako ulikuwa na uwezo wa kutamka vinginevyo juu ya uzi wa huyo ndugu ..lakini hakika nimependa busara yako na hekina katika aya tatu za mwisho kwenye maoni yako,umenena vema sana..Subira yavuta heri na kila jambo lina mwisho.
  13. J

    Taja Jina zuri Kwa mtoto

    Georline
  14. J

    Compilation ya Wahenga tu: Kila mwenye picha ya Mhenga aiweke hapa

    Mhenga huyu sijui atakuwa maeingia msituni huko aliko sasa:):):):):):):):)o_O
Back
Top Bottom