WEE acha hizo na elimu ya kupandikizwa, "unakaa ndani ya mduara balaa", ulizaliwa bogasi, sasa walimu ndio wamekufikisha hapo ulipo leo unabofya, unafikiria kufunga vidonda ndio professional tu, ni sehemu ndogo tu kati ya mambo mengi ya kufanya hapa duniani, HAY BASI aliye gundua mobile phone...