Unatoa ushauri kwenye jambo ambalo ulijui hata kidogo, ulijui kabisa, kabla ya kutoa ushauri ni lazima ulijua jambo unalolitolea ushauri,
1.Ni uchale tu kudhani wewe unaijua ACT inanguvu kuliko wao wanavyo jijua, yaan wewe ambaye uiona ACT kwa kuiangalia tu rangi na majina ya baadhi ya viongozi...