Recent content by Jemedal

  1. Jemedal

    Viongozi wote wa Vyama Vya Siasa ni Wafanyabiashara Wakubwa Kasoro Tundu Lisu na Mdude tu!

    Unasema viongozi wote wa vyama vya siasa, kisha unakuja kumtaja mdude[emoji23][emoji23] Mdude ni kiongozi wa chama gani cha siasa?
  2. Jemedal

    Kuhusu mishahara wakati wa sikukuu, Serikali iache double standard

    Labda umeajiriwa mwaka huu, hakuna mwaka mshahara ulitoka baada ya X mass
  3. Jemedal

    Je, Hypersexualism ni jambo la kawaida kwa teenagers wa siku hizi?

    Ni wewe ndio unatatizo, haiwezikani kwa mwaka mara 10, hiyo mara 10 mm napiaga ndani ya siku 15. Nikiwa free na kukawa na ubusy basi walau nitapiga kwa mwezi. Na katikatikatikati hapo huwa napiga puu japo mara moja au mbili kuweka mwili sawa, Situkia kilevi chochote, sipaki dawa wala kunywa...
  4. Jemedal

    Hivi ni halali kumuadhibu mwanafunzi kwa kosa la mzazi?

    Lakini ni sawa kumfunga jela Baba wa familia ambaye ndio tegemezi wa familia kwa kosa ambalo sio la familia?
  5. Jemedal

    Kwanini wahafidhina wengi huwa maskini na wenye elimu haitoshi?

    Unawezaje kusema Ccm ni maskini, huoni huo ndio umasikini wenyewe sasa,, Nchi hii kuna tajiri asiye Ccm? Nenda kavute nyingine.
  6. Jemedal

    Simba tunafeli kwenye suala la jezi. Kwanini matangazo mengi?

    Ukielewa neno kolo ni nn msingi wake, utakaa kwa kutulia
  7. Jemedal

    Ni ngumu sana kumfikisha mwanamke kilelen. sio rahis kihivyo

    Ni nn faida ya yy kufika kileleni, unafaidika na nini? Pesa zako ale Guest umpeleke wewe Msosi ugharamie wewe Na bado ujipe kazi ya kutaka kumfikisha huko kileleni, kwani unalipwa? Piga mbupu, ukifika wewe, enjoy kisha sepa
  8. Jemedal

    Wydad leo wamefanyiwa kile ambacho huwa wanakifanya

    Kwamba Yanga acheze juani na Geita au Ihefu nani hatobohi na nani atatoboa, kwann?
  9. Jemedal

    Simba Sc yaomba kuondolewa mechi ya Singida tarehe 8 ili ijiandae na mechi ya Al-Ahly ya tarehe 20/10

    Maneno hayo yalisemwa na mtu ambaye alikuwa mbumbumbu, na bado mbumbumbu wengine wanayanukuu.
  10. Jemedal

    Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

    Hii ni shibe ya ugali na mchuzi wa dagaa, Umejieleza sana kwa usicho hata na ufaham wake.
  11. Jemedal

    Uandishi wa mume wa Zamaradi Mketema 'says it all'

    "Swala la uhandishi ni watu wachache wanariweza, nakiri mimi ni mmoja wapo uhandishi unanitesa" Ungeandika hivi bila shaka ningekubaliana na wewe, Suala lipo wazi kabisa, kwa mazingira ya Dunia yetu hii ya Kitanzania, kwa muandiko ule wa mzee wa ULISI, jamaa ni empty headed, kuna mawili posible...
  12. Jemedal

    Wanawake wa hivi wana mapepo au ni nini wakuu

    Kilimo cha alizeti bado ni sehemu ya kujiingizia kipato huko singida, kizingatie sana.
  13. Jemedal

    CCM Kisonge Zanzibar wanyosheana vidole

    Maalim wampe tuu......maana hakuna namna, wampe tuu
  14. Jemedal

    Mkwara wa JK na Wateule wake sasa unazichoma hata kura chache walizokuwa nazo!

    Ni mkwaraaa???????? Bas thubutu kufanya siku ikifika.....
Back
Top Bottom