Recent content by JembePoli

  1. JembePoli

    Simulizi ya Kurwa na Dotto(True story)

    Funzo kubwa sana umetoa mkuu
  2. JembePoli

    nimerudi tena jameni

    Bora upotee tena Sent from my iPhone using JamiiForums
  3. JembePoli

    Ukiwa na vijisenti kidogo, unajielewa ni ngumu sana kuishi na waswahili

    Hilo jina nikajua haupo Bongo upo New Delhi state ya Haryana Sent from my iPhone using JamiiForums
  4. JembePoli

    Ni nini hasa uspesho wa iPhone?

    Bado unatumia Iphone kama tecno
  5. JembePoli

    Elimu ya Uwekezaji wa Hisa

    Hapa nimeweka kituo ikiendelea nimo.
  6. JembePoli

    GE2020 Upinzani twende na Membe 2020!

    Membe yuko ccm magufuli yupo ccm 2020 itashinda ccma. Kidumu Chama Cha mapinduzi
  7. JembePoli

    Mbunge wa Ukonga huoni haya?

    Tafadhari tunajenga Reli ya kisasa na kwa sasa asilimia 75 imeshakamilika Kuweni wavumilivu hatuwezi kutekeleza miradi yote kwa wakati mmoja
  8. JembePoli

    Je, CAG ana uwezo wa kupendekeza Bunge livunjwe?

    Mkanganyiko unabaki kwetu sisi waliotubatiza wanyonge Sent from my iPhone using JamiiForums
  9. JembePoli

    "Hoia" Forest Msitu wa kutisha.

    Na ule msitu wa njombe wanaosema nyumba nitu
  10. JembePoli

    Sala ya Baba Yetu inasema “usitutie majaribuni”. Je, Mungu anaweza kufanya hivyo?

    Mungu aliruhusu mtumishi wake Ayoub ajalibiwe. Wakati mwingine majaribu hayana budi kuja ili kuzipima imani zetu kwa Mungu mwenyezi. Na tunapoomba asitutie majaribuni tunamaanisha sisi ni dhaifu atuzidishie imani
  11. JembePoli

    Pesa imekauka kwaresma

    Mkuu hizo mbwembwe sio msimu wake. Japo kutoa wanatoa ndio maana ya udiakonia Sio lazima media zimulike. Ubarikiwe na bwana Yesu kristo
  12. JembePoli

    Elimu ya kutunza fedha inahitajika

    Kutunza pesa kunaanza na vipaumbele vya malengo uliyojiwekea. Kama huna malengo pesa haiwezi kutunzika. Anza na malengo kisha weka mkakati wa kufikia malengo yako kupitia chanzo chako (mshahara) Malengo ya muda mfupi na muda mrefu yoote yawe na % kadhaa inayokuwa fixde
Back
Top Bottom