Recent content by jei90

  1. J

    JamiiForums Tanzania Tukio la Ujambazi lililofanikiwa zaidi, kusisimua na kuushangaza Ulimwengu

    10 best robberries
  2. J

    JamiiForums Tanzania Tukio la Ujambazi lililofanikiwa zaidi, kusisimua na kuushangaza Ulimwengu

    Kuna diamond heist nyingine ilifanyika Antwerp ila airport na ilihusisha damonds za thamani ya 50 million USD...mkuu kuna watu wana akili hatari
  3. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je! mtandao ukiwa na download speed kubwa ndio mzuri ?

    Truu mkuu na kwa sisi tunaotumia proxy kwenye hii mitandao yetu tunaexperince sana hii kitu....ntafanya majaribio kwenye ttcl ntakupatia majibu chief
  4. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania PC maalum kwa ajili ya game inauzwa

    Mkuu umetisha
  5. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji game hizi kwa mwenye nazo

    Wakuu mi natumiaga hii PC Games .....napata games karibia zote ila kama utaitumia nakushauria tumia links za uptobox ziko vizuri
  6. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta graphics card

    True zina tofauti kubwa mkuu, moja ni gaming gpu nyingine ni rendering gpu....itategemea na matumizi hasa ya anayeinunua
  7. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana kuroot simu zenye android marshmallow??

    Jaribu kupitia hyo link hapo chini Rooting Android Marshmallow
  8. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania PC Gamers Njooni Hapa

    Labda nianze kwa kusaidia hivi; Game yoyote ile inahitaji kiwango flani cha hardware ili iweze kucheza vizuri kwenye kompyuta. Mfano GTA V mahitaji yake ni kama ifuatavyo: OS: Windows 8.1 64 Bit, Windows 8 64 Bit, Windows 7 64 Bit Service Pack 1. Processor: Intel Core i5 3470 @ 3.2GHZ (4 CPUs)...
  9. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania PC Gamers Njooni Hapa

    Na ndo maana muanzisha mada kaomba msaada ili kuwafungua watu akili na kusaidiana kwenye maswala ya hardware ili kumeet game specs requirements(mahitaji ya kuweza kucheza hizo game).
  10. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania PC Gamers Njooni Hapa

    Kama utainstall Origin ni kama umejipeleka polisi na gari la kuiba...find another way...Steam sio ishu sababu inakubana kwenye matumizi ya game yako
  11. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Movie mbaya uliyowahi kuitazama!!

    Sorry mkuu ni kipi ambacho hukukielewa kuhusu this movie...Sicario naweza kukusaidia
  12. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Movie gani ya kipelelezi unaikubali kuliko zote hadi kesho?

    True kabisa its one of the best....icheki pia The Hunt for Red October kaigiza Sean Connery
  13. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Movie gani ya kipelelezi unaikubali kuliko zote hadi kesho?

    Salt is good but tatzo iko highly predictable yani its a one man/woman show...a huge set back
  14. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Movie gani ya kipelelezi unaikubali kuliko zote hadi kesho?

    Kwangu zipo nyingi ila naikubali Tinker Tailor Spy Soldier... i highly recommending it...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa u-genious na Ukichaa

    Truu...Jamaa aligundua formula kali ya Mathematics tatizo alikua na ukichaa wa kujenga mawazo ambayo hayakua halisia...A Beautiful Mind
Back
Top Bottom