Natafuta graphics card

natafuta graphics card isiyozidi 250000/= with not less than 2gb gddr5 ram
Mmmh hapo mbona pagumu mkuu, kwa bajeti hiyo utapata nafikiri nvidia gt630 2gb ambayo ni ddr3. Ukitaka vumilia ongeza 300000 kanunue gtx 750 ti 2gb ddr5 550000. Au unaonaje?
 
True zina tofauti kubwa mkuu, moja ni gaming gpu nyingine ni rendering gpu....itategemea na matumizi hasa ya anayeinunua
 
radeon 6570 kimeo cpu yoyote ya intel ya desktop ya kuanzia 2013 (haswell, broadwell na skylake) gpu yake ya ndani inaipita hio gpu, kwa laki 2 hapana

gt 730 pia ni gddr3 na perfomance yake ni ndogo inapitwa pia na baadhi ya gpu za ndani zinazokuja na cpu.

hivyo hizo hapo juu si nzuri kwa gaming

650ti kama unanegotiate naye ni gpu nzuri atleast kwa 720p utacheza games zote na kama za mpira hadi 1080p utacheza. sema TDP yake ni 110w itabidi ubadili power supply ili kuenjoy
 
Huyo jamaa naona ana graphics card nying tu anauza... Hizo ni baadh so bettah jamaa ajue anataka ipi then akaconsult na jamaa
 
Ipo Mbeya,
Inataka 210,000/= tu

07092015112.jpg
07092015111.jpg
07092015112.jpg
07092015113.jpg
07092015114.jpg
07092015115.jpg
07092015116.jpg
07092015117.jpg
07092015118.jpg
07092015119.jpg
07092015120.jpg

GPU Engine Specs:

Graphics card version : GTX 560
CUDA Cores : 336
Graphics Clock (MHz) : 810-950
Processor Clock (MHz) : 1620-1900
Texture Fill Rate (billion/sec) : 45.4-49.8

Memory Specs:
Memory Clock : 2002-2200 MHz
Standard Memory Config :1024 MB GDDR5
Memory Interface Width : 256-bit
Memory Bandwidth (GB/sec) : 128

Feature Support:
OpenGL : 4.1
Supported Technologies : 3D Vision, CUDA, PhysX, SLI

Display Support:
Multi Monitor :Yes
Maximum Digital Resolution :2560x1600
HDCP :Yes
HDMI :Yes
Standard Display Connectors :Two Dual Link DVI, Mini HDMI

Thermal and Power Specs:
Maximum Graphics Card Power : 150 W
Minimum System Power Requirement :450 W
Supplementary Power Connectors :Two 6-pin

3D Vision Ready:
3D Blu-Ray :Yes
3D Gaming :Yes
3D Photos :Yes
 
Ipo Mbeya,
Inataka 210,000/= tu
0712132888

View attachment 357974 View attachment 357973 View attachment 357974 View attachment 357975 View attachment 357976 View attachment 357977 View attachment 357978 View attachment 357979 View attachment 357980 View attachment 357981 View attachment 357982
GPU Engine Specs:

Graphics card version : GTX 560
CUDA Cores : 336
Graphics Clock (MHz) : 810-950
Processor Clock (MHz) : 1620-1900
Texture Fill Rate (billion/sec) : 45.4-49.8

Memory Specs:
Memory Clock : 2002-2200 MHz
Standard Memory Config :1024 MB GDDR5
Memory Interface Width : 256-bit
Memory Bandwidth (GB/sec) : 128

Feature Support:
OpenGL : 4.1
Supported Technologies : 3D Vision, CUDA, PhysX, SLI

Display Support:
Multi Monitor :Yes
Maximum Digital Resolution :2560x1600
HDCP :Yes
HDMI :Yes
Standard Display Connectors :Two Dual Link DVI, Mini HDMI

Thermal and Power Specs:
Maximum Graphics Card Power : 150 W
Minimum System Power Requirement :450 W
Supplementary Power Connectors :Two 6-pin

3D Vision Ready:
3D Blu-Ray :Yes
3D Gaming :Yes
3D Photos :Yes
Chief mkwawa...hii graphic card unaionaje mfano kwa game.....natanguliza shukrani kwako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom