Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,891
- 20,144
Togwa limeingia nzi
Mkuu Mtoto wa kuku usiwe kama mkuu MunawarMkuu ungekuwa ke ungekuwa na watoto wengi sana....
ntajie model ya processorWadau kama kichwa cha habari kinavyosema nauza pc tupu(dell precision t5500)maalum kwa ajili ya game za kisasa na inaweza kufanya editing pia...spec processor xenon 2.8mhz(4cpu)ram4gb,hdd 1t,dvd writer,video card-nvidia quadro fx....ndani kuna game nyingi bei 400k maengezi yapo....
Acha hizo mtoto wa kuku unajiaibisha.Siliza wewe mchambuzi feki....Mimi siuzi vitu kwa kuotea....kwa watu waliosoma uzi wangu watakuwa wamenielewa hakuna sehemu niliongopa ila wewe kwa kutafuta tension na watu unaongea vitu viingi kana kwamba umeshirikishwa....au nimemlazimisha mtu au watu kununua ninachokiuza....wewe umesema haichezi game za kisasa mimi nimesema zinacheza....ubishi mimi na wewe ungeisha kwa kuthibitishiana haya niliosema lakini si kwa kuongea vitu viingi kana kwamba mimi sijui ninachokiuza....hebu jaribu kuwa mstaarabu.....
hizo computer huwa zina option ya kuongeza processor ya pili. vipi hiyo socket ya pili ina processor?Hii yenyewe hapa ilipo inapiga mzigo wowote achilia mbali magemu ya ukweli...na ina uwezo wa kuongeza ram hadi gb 72
Umeongea vizuri mkuu. Ila power supply kuwa 845W haimaanishi kwamba utakuwa inanyonya umeme wote huo isipokuwa inategemea na kazi utayokuwa unafanya. Kwa hiyo unaweza ukakuta unatumia 200W tu.AsanteHiyo workstation siyo maalum kwa gaming bana, kwanza hizo gpu za Quadro fx ni special kwa ajili ya rendering, CAD, CAM. Kwenye gaming ni GTX series ndo mahususi.
PSU 845W -Hapa jiandae kufunga ndoa na tanesco.
Kwa watu wa studio (video production) CAD & CAM pro haya madude yanawafaa sana.
Umeongea vizuri mkuu. Ila power supply kuwa 845W haimaanishi kwamba utakuwa inanyonya umeme wote huo isipokuwa inategemea na kazi utayokuwa unafanya. Kwa hiyo unaweza ukakuta unatumia 200W tu.Asante
Ok nimekupata ni kweli workstations zinakuja na power supply kubwa. Poa mkuu.Nililenga power supply za kawaida ambazo nyingi zinakuja na computer direct from manufactures, lakini pia kuna hizi PSU ambazo zinakuwa na trademark ya 80 PLUS, zinatumia umeme vizuri efficiency ni 80+ kwa hiyo ulaji wa umeme ni tofauti na za kawaida na bei zake huwa kubwa tofauti na za kawaida.
Ukitoa hard disk yako inakua bei Tsh maana hapa nini 2t.Ram 4gb..Sema kiasi toa ram hard disk.Wadau kama kichwa cha habari kinavyosema nauza pc tupu(dell precision t5500)maalum kwa ajili ya game za kisasa na inaweza kufanya editing pia...spec processor xenon 2.8mhz(4cpu)ram4gb,hdd 1t,dvd writer,video card-nvidia quadro fx....ndani kuna game nyingi bei 400k maengezi yapo....
Hizo workstation huwa zinatumia RAM tofauti na za desktop za kawaida.Ukitoa hard disk yako inakua bei Tsh maana hapa nini 2t.Ram 4gb..Sema kiasi toa ram hard disk.