Mkuu mimi nikiweka origin fifa inastuck ata haifunguki tatizo nini ?Kama utainstall Origin ni kama umejipeleka polisi na gari la kuiba...find another way...Steam sio ishu sababu inakubana kwenye matumizi ya game yako
Kijana kama unataka mashine ya bajeti (used) lakini powerful kuna intel core i5 , 2400,2500 au i7 2600k, ram ddr3 8GB, HDD 500, GTX 750 Ti 2GB utacheza game karibu zote at high settings bajeti hapo ni sh 1100000.Nikitaka pc yenye hizo specification ni shilingi ngapi
Ngoja nijipange,nataka nifunge mkataba wa kukaa nao hata miaka mitano.Kijana kama unataka mashine ya bajeti (used) lakini powerful kuna intel core i5 , 2400,2500 au i7 2600k, ram ddr3 8GB, HDD 500, GTX 750 Ti 2GB utacheza game karibu zote at high settings bajeti hapo ni sh 1100000.
Mkuu add namba hii 0763292766Ngoja nijipange,nataka nifunge mkataba wa kukaa nao hata miaka mitano.
Alafu utest fifa 14 uone mzigo hapoKuna ishu kubwa saivi inatuface gamers ambayo ni hadwares
To be honest hapo mimi mwenyewe kilaza. Tena kilaza haswa.
Ila nina PC ya kawaida tu HP i3 na inapiga mizigo kama lembe.
Nina magem kadhaa na yanasonga.
Nina magem kama
-dead pool
-PES
-Truck Mania
-Blur
- Driver san Fransisco
-Euro Truck Simulator
-Devil May cry
-NFSMW
Naomba kama kuna ruksa yenu nifungue whats app grupu letu tue tunaswap games au hata kuuziana ikibidi.
Personal
DMC na Blur nilizinunua baada ya kila nalodownload lilifeli.
search maneno haya pesedit 2016, kuna update hadi ya msimu huu, update ya jezi, wachezaji, viwanja etcnnaipenda pes2013 ndo nnayoicheza sana, naomba kama ntapata msaada niweze update wachezaji
Fungua youtube halafu uidownload very simple.Oy hiyo video naomba ntumie WhatsApp 0692713599
nice, ni project yako?