Recent content by jeffrhys

  1. J

    JamiiForums Tanzania PHARMACY INAUZWA DSM

    Ukiwa unafanya biashara jitahidi kuweka maelezo kwa kwa uzuri,mfano duka la nguo linauzwa lipo jirani na moshi bar vingunguti karibu na machinjion,inakuwa rahisi kueleweka
  2. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wana ndoa wengi wanajiongelesha wenyewe barabarani shida ni nini?

    Haya mambo wee yaache tu ukiingia ndo utajua hapa ni ngumu mno kuelewa ila kifupi ni kuwa huwa tunawaza kwa sauti bila kujijua
  3. J

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Askofu Bagonza: Kuwanunua Binadamu kwenye Uchaguzi ni Chukizo kwa Mungu

    dini na siasa ni vitu viwili vinavyoenda pamoja lazima vishakamane ili viwe sawa,suleiman alikuwa kwenye dini na siasa,daudi pia akikuwa hivo,iran kiongoz wao mkuu wa din yupo pia na siasa,vatcan kiongoz wao ndiye kiongoz wa kanisa,hivi vitu havitenganishwi
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kufuatia msiba wa Malkia wa Uingereza, kwanini bendera Tanzania haipepei nusu mlingoti?

    Kwahiyo tukipeperusha nusu mlingoti kuna uwezekano wa kujaziwa zaid kwenye bakuli letu.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Tozo zimehamia kwenye Ma-Benki

    ngoja tufungue nchi Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu 2014: Tea Said Tewa (1924 - 1998)

    nasoma mara nyingi makala zako za kutuelimisha sisi vijana,ninapata vitu vingi shukran sana kwa elmu unayotoa Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
  7. J

    JamiiForums Tanzania Tupeane michongo ya biashara za kuingiza kuanzia Tsh 10,000 kwa siku

    Mkuu hata Betting ukitulia vizur inakutoa frsh kabisa
  8. J

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani, watoa tahadhari dhidi ya ongezeko kubwa la ugonjwa wa Covid-19

    Ni kweli ni muhimu kuchukua tahadhari ili kuweza kujilinda na kuwalinda wanaotuzunguka,ninachojiuliza kwann huu ugonjwa una promo sana kuna nn nyuma ya hii promo hapo ndo sina majibu zaidi ya kujilinda na kuchukukua hatua
  9. J

    JamiiForums Tanzania Nipo njiapanda, msaada wenu wanaJF

    Anza kufanyia kazi hiyo gari iweke iwe uber ila usimpe dereva fanya mwenyewe,jiwekee malengo kila siku laZima ulaze kias flan cha pesa,hautajuta ktk hilo
  10. J

    JamiiForums Tanzania Njia gani nitumie kudai deni?

    Zipo njia mbili na ngumu kidogo mie niliona zimefanikisha kwangu,nenda kwake kakae sebulen usindoke hd amekupa chako kaa hapo,kula hapo mda wote mkewe akuone upo ht km ni wiki mbili kaa hapo,pili fanya upelelezi ujue siku yupo nyumban esp jumapili asbh ya saa nne anzia mtaa pili vua nguo watu...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Msaada: Je, kuna magari ya kusafirisha maiti kutoka Dar - Mwanza

    Poleñi sana,njia rahisi ni kukodi noah huwa ni bei ndogo zaid,nasisitiza noah ndo mtaelewana vizuri ila kwingine kote bei ipo juu
  12. J

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu gari aina ya Land Rover Discovery TD5

    Mzee Kigogo, Hiyo gari td5 ni nzuri sana km utazingatia service,iko very comfy,inatumia mafuta vzr(diesel engine)ina nguvu ht bei yake si mbaya, ila upate yenye engine P10/15,hzo za petrol achana nazo maana zina engine kubwa(v8)itakutesa kwa kila kitu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. J

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Watanzania waishio Luanda, Angola

    hapa maisha yapo juu tofauti na nyumban,nyumba unapata kuanzia 250usd na kuendelea usafiri kwa daladala kituo hadi kituo ni 1dola,kuhusu madem bei imechangamka kidogo,bei ya bia iko chini kuliko maji ya kunywa,changamoto nyingine ni shida ya maji hasa kwa hapa luanda,ila huko quando...
Back
Top Bottom